Kampuni Bora ya kuku,Kati ya silverland,interchick na tanchick

Mawakala wa interchiki ndo wanasumbua?wanarangua au..naomba msaada

Wasumbufu sana, waweza lipa wakakwambia utapata wiki ijayo, then wiki ijayo, halafu wiki ijayo, na tena wiki ijayo ………….. baadaye watakwambia bei imepanda inabidi uongeze pesa. Lakini pia wanaweza kukuletea famba. Changamoto ni nyingi zilizoko nje ya uwezo wa mfugaji. By the way upo wapi Mkoa?
 
Najua silverlands na interchick na nimefuga kuku wote kuna kipind vifaranga wa silverlands walikuwa wanakufa sana ila interchick vifaranga wao wapo strong wanasavaiv ila kuna folen ya kupata mzigo mpaka noma


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom