Natafuta vijana 10 tufanye kilimo

Molembe

JF-Expert Member
Dec 25, 2012
9,048
2,000
Ajira zimekuwa ngumu sana,nahitaji vijana 10 wa jinsia tofauti tufanye kilimo cha mahindi,eneo nimeshapata ekari 50 kinachohitaji ni hao vijana 10 kwa ajili ya nguvu kazi ,kununua mbegu,mbolea na nguvu kazi.
Kwa kipindi chote tutaishi kambini mpaka kuvuna mazao yetu.
Walio tayari PM mnakaribishwa.
 
Mr Confidential

JF-Expert Member
Jul 1, 2018
966
1,000
Unataka vijana kumi walime ekari hamsini? Yaani kila mmoja ekari 5?!! Hauko serious. Ni dhahiri wewe si mkulima.

Anza kidogo na ulicho nacho. Si lazima ulime zote kwa wakati mmoja. Kama una hela ajiri temporary laborers.. (Think big but start small ) Lima hata ekari 2 au 5 ili upate mtaji wa kulima shamba lote.

Naomba ufute mawazo ya kutafuta vijana kumi, tena unatafuta humu JF. Afu eti mkae kambini kipindi chote (4 months )

Tafakari upya. Kilimo hakihitaji kukurupuka. Ila nashauri uanze mwenyewe. Tena anza mara moja

Kila la heri.

Sio lazima tulime zote ,tutalima kulingana na uwezo wetu, hao vijana 10 ni kwa ajili ya nguvu kazi maana katika kilimo nguvu kazi ndio inatumia gharama kubwa.
Lengo ni kutoa ajira kwa wengine.
 
2018

JF-Expert Member
Jan 1, 2018
351
500
Unataka vijana kumi walime ekari hamsini? Yaani kila mmoja ekari 5?!! Hauko serious. Ni dhahiri wewe si mkulima.

Anza kidogo na ulicho nacho. Si lazima ulime zote kwa wakati mmoja. Kama una hela ajiri temporary laborers.. (Think big but start small ) Lima hata ekari 2 au 5 ili upate mtaji wa kulima shamba lote.

Naomba ufute mawazo ya kutafuta vijana kumi, tena unatafuta humu JF. Afu eti mkae kambini kipindi chote (4 months )

Tafakari upya. Kilimo hakihitaji kukurupuka. Ila nashauri uanze mwenyewe. Tena anza mara moja

Kila la heri.
Mr Confidential
Hili nalo ujuaji mwingiii
 
Orril96

Member
Oct 10, 2019
5
45
Kwa mtazamo wangu vijana wanapatikana kitaani kwako, wewe huenda unajua wanaofaa kufanya nao kazi kwa sifa unazohitaji.
Humu sina hakika kupatikana
 
Fenuchi

Senior Member
May 5, 2019
117
225
Uk
Ajira zimekuwa ngumu sana,nahitaji vijana 10 wa jinsia tofauti tufanye kilimo cha mahindi,eneo nimeshapata ekari 50 kinachohitaji ni hao vijana 10 kwa ajili ya nguvu kazi ,kununua mbegu,mbolea na nguvu kazi.
Kwa kipindi chote tutaishi kambini mpaka kuvuna mazao yetu.
Walio tayari PM mnakaribishwa.
Uko wap mkuu
 
Anti-Hacker

JF-Expert Member
Oct 1, 2018
812
1,000
Ajira zimekuwa ngumu sana,nahitaji vijana 10 wa jinsia tofauti tufanye kilimo cha mahindi,eneo nimeshapata ekari 50 kinachohitaji ni hao vijana 10 kwa ajili ya nguvu kazi ,kununua mbegu,mbolea na nguvu kazi.
Kwa kipindi chote tutaishi kambini mpaka kuvuna mazao yetu.
Walio tayari PM mnakaribishwa.
Kama kweli ni pm mkuu..na taarifa zote za uo mradi najua lazma tupate zile 5% za kila halmashaur..
Au 50M tukakope tuanzishe hicho kilimo kiwe kilimo biashara pia sema ni maeneo yapi hayo ,je ni Katavi,Mbeya,Rukwa,Iringa,Songwe au Ruvuma
 
Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
12,655
2,000
Unataka vijana kumi walime ekari hamsini? Yaani kila mmoja ekari 5?!! Hauko serious. Ni dhahiri wewe si mkulima.
Anza kidogo na ulicho nacho. Si lazima ulime zote kwa wakati mmoja. Kama una hela ajiri temporary laborers.. (Think big but start small ) Lima hata ekari 2 au 5 ili upate mtaji wa kulima shamba lote.
Naomba ufute mawazo ya kutafuta vijana kumi, tena unatafuta humu JF. Afu eti mkae kambini kipindi chote (4 months )
Tafakari upya. Kilimo hakihitaji kukurupuka. Ila nashauri uanze mwenyewe. Tena anza mara moja
Kila la heri.
Mr Confidential
Mibongo Siku Zote Ni Takataka Tupu.

Yaani Inaamini Kila Mtu Anaweza Kupambana Kivyake Vyake Tu Mwisho Wa Siku Inajikuta Haina Hata Bodaboda,

Nasubiri na Wale Wa Ukiitwa Kwenye Fursa Ujue Wewe Ndo Fursa.

Mtu Pekee Asiyependa Ushirikiano Huwa Ni Shetani Kwa Kuwa Siku Zote Penye Ushirikiano Pana Mafanikio Makubwa.
 
Usibwabwaje hapa! Note my point "ANZA MWENYEWE " Point ni kuanza!
 
Top Bottom