Suluhisho la Mbolea

Tutor B

JF-Expert Member
Jun 11, 2011
9,025
6,554
Tujadili kidogo kuhusu mbolea au virutubisho vya mimea.

Kama wewe Ni mkulima mdogo, wa Kati au mkubwa utakubaliana nami kwamba changamoto kubwa hasa kwenye shughuli za kilimo Ni mbolea na madawa ya kudhibiti wadudu waharibifu. Mbolea zipo na zinafanya vizuri, pia dawa za kuua wadudu waharibifu zipo.

Tatizo mbolea hizo na viua wadudu vina kemikali ambazo si rafiki kwa mazingira Wala walaji. Pia Bei inapanda kila inatoitwa leo, Jambo linalopungiza riziki kwa wakulima na badala Yake mapato mengi HUISHIA kwa wauzaji wa pembejeo. Mbolea chache ambazo Ni organic Bei Yake iko juu Sana kwa sababu huandaliwa mbali sana na nchi yetu na kusafirishwa UMBALI mrefu Sana kumfikia mkulima.
Lipo SULUHISHO la changamoto hizo kwa wakulima.

Com-fert ni kirutubisho Cha mimea kilicho kwenye asili ya kimiminika chenye uwezo wa kuboresha afya ya mimea wakati wa kupanda, kukua na pia wakati wa kuweka matunda. Kirutubisho hiki ni Cha asili (organic) kinachoandaliwa kutokana na mmea wa comfrey; kina wingi wa virutubisho muhimu vinavyohitajika kwa wingi kwenye mimea. Nitrogen husaidia mmea unapokuwa unahitaji kutengeneza chakula chake kupitia majani, inaufanya mmea kuwa na majani ya kijani kibichi iliyokolea. Wakulima wa mboga mboga ni mashahidi kwenye ubora wa kirutubisho hiki. Phosphorus husaidia mmea kujikinga dhidi ya magonjwa mbalimbali na Pottasium huimarisha shina la mmea, vikonyo vya maua na matunda.

Nyongeza ya hapo com-fert Ina harufu ambayo huwafanya wadudu KUSHINDWA kuendelea kula mimea, wakipuliziwa asubuhi / jioni hawaendelei kuishi. Hii Sio sumu Kama za madukani Bali Ni hewa asilia inayowafanya wadudu kusinzia bila kuamka.
Kwa uchache hizo ndo faida za kutumia com-fert kwenye kilimo:

1. Husaidia kuupa mmea RANGI ya kijani, kujitengenezea chakula chake yenyewe na kunawiri.

2. Hurutubisha ardhi kwa kuongeza madini na madini hayo huboresha afya ya mmea.

3. Husaidia kulainisha udongo

4. Husaidia matunda kuwa mengi.

5. Husaidia ... Inaendelea...
....husaidia kutunza unyevunyevu ardhini

6. Ni rafiki wa mazingira kwani haina kemikali Wala sumu

7. Hurutubisha ardhi kiasili

8. Hutumika kwa mimea yote.

Zipo shuhuda nyingi sana toka kwa wakulima wanaotumia kirutubisho hiki - hasa nje ya Tanzania na matokeo ni chanya. Kwa Sasa inapatikana kwa ujazo wa lita 5 na Lita 20; popote utatumiwa. Kwa maelezo zaidi unaweza kuwasiliana nasi kwa simu / WhatsApp NAMBARI +255 655 533 543.

KILIMO HAI NDO MAMBO YOTE.
 
hii buster ina nitrogen ngapi na phosphorus ngapi na potassium ngapi yani parcentage ngapi
 
Nasita kuiita Busta! Mbolea ya asili - japo haijapimwa percent za hizo nutrients, lakini waliotumia wanaona matokeo chanya. Mboji huwa Ni Bora zaidi ya hizi mbolea za viwandani, hata samadi haijaandikiwa percentage ya nutrients lakini Ni Bora zaidi ya hizi za viwandani.
Kwa wanaofanya organic farming nawashauri wafuatilie hii mbolea..
 
Lita 5 Tshs. 10,000-
Lita 20 Tshs. 40,000-
Lita 5 inatosha ukubwa gani wa shamba?
Imetengenezwa na kuthibitishwa wapi?
Kwa bei za mbolea zilivyochachamaa (DAP in 120,000/50 kg, na UREA ni 108/50 kg, wakulima tutauziwa malonya kwelikweli!
Note: Huku mtaani gunia mahindi debe 6 ni around 30,000
 
Jilizishe kwanza kwa kuwasoma wale wanaofanya organic farming, mmea wa comfrey umekuwa ukitumika miaka mingi kuandaa mbolea za asili kwa nchi za ulaya, Asia nk.
Kuhusu kuidhiniswa, naomba utambue kwamba hata samadi inafanya vizuri Sana lakini sijui Ni mamlaka ipi imeiidhinisha.
Tafuta maarifa ya kukusaidia kuachana nabolea za kemikali zinazotuharibia ardhi.
Ni hayo tu mdg zangu.
 
Back
Top Bottom