Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Naomba kufahamu bei ya gunia la Dengu kwa wanaolima zao Hilo
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Ndugu wakulima wenzangu tuondokane na kununua Matrekta used kwa bei kubwa. Tuondokane na kununua Matrekta used kwa bei kubwa, utumiaji wa mafuta, gharama za spea, Pia hayo matrekta used...
0 Reactions
79 Replies
35K Views
Asparugus ni mboga ghari sana, kwa sisi kajamba nani sio rahisi tuzimudu, Lazima uwe vizuri kuweza kula hizi mboga. Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
3 Reactions
17 Replies
3K Views
Kichwa cha habari cha husika Hapa inajumuisha -Sehemu yenye kibali -Usalama -Uhakika wa maji -Isiyo na migogoro
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Zao hili lilianza kuingia nchini kutoka Uganda mnamo mwaka 1954 kupitia kwa mkulima mmoja wa kijiji cha Kiilima wilaya ya Bukoba Vijijini. UTANGULIZI Zao la vanilla ni moja ya zao la viungo...
9 Reactions
174 Replies
98K Views
Nafuga kuku wa kienyeji Jkisema ulishe mboga za majani za sokoni Utajikuta unapata hasara kubwa sana kwanza -Wanakua taratibu sana ( hivo gharama kuwakuzA) -Soko la kusua sua -Bei zake si kubwa...
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Ndugu wafugaji wenzangu,hivi ng'ombe wa kienyeji akila na kushiba vizuri apate na maji safi ya kunywa ana uwezo wa kutoa lita ngapi?? Nawasilisha
2 Reactions
19 Replies
4K Views
Habar wanajamiii.tuna tani zaidi ya 30 za mbaazi tunatafuta soko .Ni wapi tunaweza kuuza Kama kuna mtu anamjua mnunuzi basi asisite kuwasiliana nami na mchakato kuanza punde.
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Wachina tayari wamekamata fursa na pia Nchini kwao kuna fursa ya soko kubwa. Msije kusema hamkuonyeshwa👇
0 Reactions
2 Replies
2K Views
KANUNI SAHIHI ZA UFUGAJI WA KUKU WA KIENYEJI Kaya nyingi hapa nchini hujihusisha na ufugaji wa kuku kwa lengo la kujipatia chakula na kipato. Mazao yatokanayo na ufugaji wa kuku ni pamoja na...
8 Reactions
24 Replies
15K Views
Salaam, Habari za mchana huu? Wadau ninaomba kujua kwa mwenye uelewa wa huu UGONJWA. Leo nimechinja kuku, nikakuta utumbo wake una vipelevipele, ila kuku alikuwa mzima kabisa kabla sijamchinja...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wakuu, Nahitaji mayai ya Bata mzinga ambayo yanaweza kutotoa vifaranga (fertile eggs) Mwenye nayo au mwenye kujua wapi naweza kupata naomba tuwasiliane kwenye namba 0785 670 266. Mimi...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Naomba kuuliza, mfano, square mita moja inahifadhi kuku wangapi, ili nitajua kama nikitaka kufuga kuku kadhaa nahitaji kujenga chumba cha ukubwa fulani.
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari za kutwa wapendwa ndugu na jamaa. Napenda kuchukua wasaha huu kwa kuweza kujoin kwa pamoja na wana JF wenzangu na waalimu wazuri wa kilimo. Lengo la kuuandaa chapisho hili ni kutaka msaada...
2 Reactions
23 Replies
15K Views
Vijana wengi nchini kwetu Tanzania wanalichukulia suala la kilimo kama ni la kimasikini na lisilo wahusu. Vijana wengi hasa wasomi tunaomaliza Vyuo Vikuu nchini tunalalamika ajira hakuna ni kweli...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Habarini ndugu zangu, Nipo na uhitaji wa samaki aina ya sato wanaofugwa kwenye mabwawa waliotiyari kuvunwa, mahitaji yangu ni tani 2 kila week. Kwa yeyote anaefahamu wanapopatikana, au yeye...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari wanajamvi, Sina uzoefu na ujuzi wa ufugaji wa kuku. Nauliza tu kuku wa kienyeji huanza kutaga tena baada ya mda gani endapo amemaliza kutaga na nimemnyima kulalia mayai?
1 Reactions
16 Replies
11K Views
Habar ndugu zangu, Naomba kuuliza kuhusu kumsaidia kuku ambaye shingo yake inapinda either upande wa kushoto au kulia na chanzo ni nini?
1 Reactions
9 Replies
2K Views
UTANGULIZI Habari za sahizi mpenzi msomaji, nitumani langu u buheri wa afya nami namshukuru mungu kwakuzidi kunipa afya njema. kumekua na sababu nyingi sana ambazo husababisha wakulima wengi...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari za wakati huu wanajukwaa wenzangu. Kwanza napenda kuipongeza serikali kupitia wizara ya kilimo hasa kwa kuanzisha huduma ya M-kilimo ambayo kwa kiasi kikubwa ni mkombozi kwa wakulima hasa...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom