Kuku wa Nyama - mpaka 10pc/1sqmNaomba kuuliza, mfano, square mita moja inahifadhi kuku wangapi, ili nitajua kama nikitaka kufuga kuku kadhaa nahitaji kujenga chumba cha ukubwa fulani.
Asante kwa majibu short and clearKuku wa Nyama - mpaka 10pc/1sqm
Layers/Kienyeji/Chotara - max 6pcs/1sqm