Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Wadau Habarini. Naomba kujuzwa machache kuhusu kilimo cha alizeti. Katika ekari moja yanapatikana mazao gunia ngapi? Je, kama nahitaji kufanya biashara ya mafuta kipi ni bora kati ya kununua...
4 Reactions
19 Replies
15K Views
Naam, wakuu natafuta bata mwenye mbegu bora ili nije kuanzisha rasmi ufugaji wa bata wa kueleweka. Naombeni muongozo sehemu za kuwanunua na gharama zake.
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Maonesho na mnada wa ng'ombe yananza leo Julai 15, 2022 na yataisha Julai 17, 2022. Yanafanyikia Ubena Zomozi, kilometa chache kutoka Chalinze kama unaelekea Morogoro kwenye viwanja vya Highland...
4 Reactions
15 Replies
3K Views
UTANGULIZI Sekta ya kilimo inachangia zaidi ya 40% ya pato la taifa. Ili taifa loloteliweze kukua vizuri kiuchumi lazima liwe na mikakati dhabiti na endelevu juu ya kilimo bora na chenye tija...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu Nin idea za kujikita ktk pembejeo za kilimo ktk mkoa wa iringa au Moro naombeni Kama Kuna mtu anweza kunipa abcd za biashara hi naomba kwa dhat kbsa aje anishahuri mdgo wake Hapa nin Cha...
2 Reactions
0 Replies
970 Views
Wakuu hivi kwa mazingira ya kijijini ambapo kipato cha wengi ni cha chini, kuku wa chotara wataweza kuboresha maisha ya mwanakijiji? Na kama sio hao, je ni kuku wa aina gani ni chaguo bora zaidi?
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wakulima wenzangu, mimi ni mgeni katika sekta hii ya kilimo ila kwa sasa nataka kujikita kwenye kilimo cha mihogo na viazi vitamu nina shamba la heka mbili shamba lipo lugwadu lakini sijui...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Ndugu wanajamvi, Ni siku nyingine ndugu zangu tumeamka salama na pilika za kusaka mkate wa Leo. Husika na madam hapo juu, ndugu zangu nimeamua kuja kwenu kupata mawazo ya namna ninavyoitaji...
4 Reactions
18 Replies
4K Views
Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano ndugu wataalamu. Nataka kuaianza hii biashara ya kilimo na pia nikikodishwa nitaenda kumlimia mtu. Bado nafanya utafiti wa tractor gani ninunue Jembe na...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
Salaam wanabodi, Ndugu zangu hasa kwa wale wapenda mbwa wenzangu watanielewa uchungu wakupoteza mbwa. Leo ni siku ngumu sana kwangu kwani nimefiwa na mbwa watatu kwa mpigo ndani ya siku mbili...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
Habari zenu! Naomba leo nitoe ushuhuda hapa jukwaani. Kwanza nipende kutoa shukurani kwa Mwenyezi Mungu kwa kuendelea kuniweka hai kwani wengi Sana walitani kuishi ama kupata bahati Kama yangu...
5 Reactions
123 Replies
31K Views
Tunatifautishaje kanga jike na dume
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Ndugu wanajamii forum habari za hapa wapambanaji wenzagu: Nawaombeni msaada kama kuna wadau wana fahamu maeneo ya udongo wa mbuga nyeusi yenye kufaa kilimo cha dengu maeneo ya Kondoa maana kuna...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Ndugu wadau,nimeambiwa huko kuna mashamba yanayofaa kwa kilimo cha mazao.mbalimbali,bei hadi laki 1.5 kwa ekari sasa nataka kujilipua mwaka huu. Asanteni
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wana jamvi, Naomba kujua waliolima alizeti kwa kutumia mbegu za Serikali za ASA mafuta zimetoa kiasi gani maana, hasara tuliyopata sye huku tuliolima Songea sio mchezo. Gunia la kilo 45...
16 Reactions
53 Replies
8K Views
Habari wana jukwaaa hili. Ninaomba yeyote anayefahamu ninapoweza kupata miche ya Mahogany au Mkangazi. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari za muda huu wakuu, hongereni kwa mapambano ya usiku na mchana kuendelea kuifanya nchi yetu na dunia kwa ujumla kuwa sehemu bora na salama. Iko hivi, nina mpango wa kufuga mbwa shambani kwa...
3 Reactions
41 Replies
6K Views
Habari wana JF. Azolla ni mmea(magugu) ambao huelea kwenye maji, mmea huu una kiwango kizuri cha protini 25 -30% na huota sana kwenye mashamba ya mpunga na madimbwi.Kutokana na tafiti mbalimbali...
4 Reactions
22 Replies
11K Views
Habari ndugu, Nina shida na kupata banda la kukodisha la kufugia broiler maeneo ya morogoro mwnye msaada naomba anisaidie ila ni maeneo ya Morogoro Mjini
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa wale walio kuwa wanaulizia Canola Oil seeds kwa ajili ya majaribio, wale Wazungu wameleta mzigo wa kutosha kwa ajili yao na ila kuna ziada kiasi inaweza patikana kuuza kwa anaye hitaji. So kwa...
2 Reactions
13 Replies
995 Views
Back
Top Bottom