Salaam wanabodi wenzangu.
Naomba kujua mishahara ya watalaamu wa mifugo, hasa animal production kwa ngazi za cheti, diploma na degree. Hii mishahara iwe kwa scale za serikali ili nitumie kama...
Nataka kulima nyanya baada ya masika maeneo ya zinga bagamoyo wataalam naombeni muongozo wapi nitapata soko la nyanya kabla sijaanza, nataka nianze na Heka moja, Huwa nalima kama bustani tu...
Nina stock ya kutosha ya mbegu ya pilipili mwendokasi
Imechambuliwa vizuri na inaota vizuri sana
Zina rangi ya njano, ni OPV siyo Hybrid.
Piga/sms/Whatsapp 0752042670
Habari za jioni wana JF, nimejaribu kusearch kama kuna mada yoyote humu ndani inazungumzia project ya unenepeshaji wa ng'ombe wa asili kisha kuwauza, ili nipitie maoni lakini hakuna popote...
Habari,
Ninahitaji mbegu F2 za mbogamboga zifuatazo.
CARROTS
SPINACH (Fordhook Giant)
SUKUMAWIKI (Collards Green)
BEETROOTS
Nachukua mpaka kilo 50 kwa kila aina ya mbegu
0752042670
Ndugu wanaJF poleni na majukumu.
Vijana wengi huwa tunaumiza sana vichwa tena mara pengine tunashindwa kufanya maamuzi sahihi. Nakumbuka kunawosia nilipewaga na mzee mmoja lakini ukiangalia...
Kwema wakuu
Je, ninaweza kuvuna nyanya kabla hazijaiva? Ili nipeleke sokoni zisiharibike, na zinachukua muda gani hadi kuiva zikiwa nje, ningependa kujua jinsi ya kuhifadhi.
Wakuu Wa Kilimo habari!
Naombeni kujuzwa habari za hawa jamaa wanajiita JATU KILIMO, wao wanajinadi kuwa ni kampuni kubwa lenye makao yake dsm, Kazi mojawapo wanayofanya ni kuwasadia wakulima...
Wadau wa Kilimo na wenyeji wa kanda ya ziwa Mwanza n.k.
Nataka kulima Karanga na muhugo sehemu gani nzuri kwa mazao haya iwe ndani ya mkoa wa Mwanza au jirani na mkoa wa Mwanza.
Pia sehemu...
Wakuu habari za mchana,
Nimekuja kwenu kuleta wazo na kuomba ushauri hii ni kutokana na ukweli kwamba nimechoka kuwapa hela vibarua wa kulima shamba langu kwa kutumia jembe la mkono.
Hivyo...
Kwa haraka haraka nimeambiwa hiki kilimo kina lipa.
Naambiwa shina Moja la Nazi linatoa Nazi 15 hadi 20 kila baada ya miezi 2.
Ukiwa na mashina 1,000 una Nazi 15,000.
Ukiuza kwa 600 kila Nazi (...
Canola ni zao la aina ya mmea jamii ya kunde; liligunduliwa uko Canada, na hili zao la canola limekuwa likilimwa zaidi ya miaka mingi sana uko Canada kabla ya kusambaa ktk bara zima la American...
Nimeangalia na kusona sehemu ya maandiko kuhusu mmea aina ya Canola au Rapeseed, ambao unaweza kuzalisha mafuta ya Kula zaidi ya Alizeti.
Wenzetu Kenya wenye mashamba makubwa wameanza kulima...
Natamani sana mabibi na mabwana shamba tuanzishe chama chetu. Ukiangalia wafanyakazi wenzetu kwenye wizara zingine wana vyama vyao vyenye nguvu kuwatetea katika mambo mbalimbali ya maslahi yao...
Habari
Kuna mbegu za cannola kila 27 na hizi zimesalia baada ya wadau kuchukua kilo 45.
Sasa basi kama unahitaji wasiliana na mimi now na 1 kg 24, 000/
Kama una plan kulima kiasi chukua sasa...
[emoji271]Grafting na budding ni mbinu za bustani (Horticultural techniques) ambazo zinatumika kuunganisha sehemu za mimea miwili au zaidi ili zikue kama mmea mmoja.
[emoji271] Vyanzo mbalimbali...
Ndugu wanajamvi,
Kama uko tayari kuingia SHAMBA msimu huu wa KILIMO karibu tuunganishe nguvu kazi,twende tukampige mkoloni Kule Katavi.
Kama na wewe uko tayari na unayo nia kutoka moyoni na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.