Kituo cha Televisheni cha Taifa (UBC) kimemhoji Waziri wa Nchi, Masuala ya Vijana na Watoto, Balaam Barugahara Ateenyi, kuhusu tatizo la mtandao nchini Uganda. Waziri alieleza sababu za kufungwa...
Tume Huru ya Uchaguzi imemtangaza Rais Museveni, mwenye umri wa miaka 81, kuwa mshindi wa Uchaguzi Mkuu wa Uganda uliofanyika Januari 15, 2026, akipata asilimia 71.6 huku mpinzani wake Bobi Wine...
Kufikia tarehe 16 Januari 2026, matokeo ya uchaguzi wa rais nchini Uganda bado yanaendelea kuhesabiwa kufuatia upigaji kura uliofanyika Januari 15. Taarifa rasmi zinatarajiwa kutolewa ifikapo...
Mgombea urais wa upinzani nchini Uganda Ssentamu Robert Kyagulanyi almaarufu Bobi Wine amepiga kura. Bobi alifika katika kituo cha Freedom Square Magere akiandamana na mkewe Barbie.
Bobi Wine wa...
Wananchi wa Uganda walipiga kura Alhamisi katika uchaguzi wa kitaifa uliojaa mvutano, kufuatia kampeni iliyokuwa mara nyingi na vurugu pamoja na kuzimwa kwa mtandao, huku Rais Yoweri Museveni...
Mods tafadhalini msipeleke post hii jukwaa la Uganda, Lile jukwaa halipo active
Hii leo taasisi ya haki za Binadamu Uganda imemuomba Muhoozi kumuachia Edward Mutwe, Mlinzi mkuu wa Bobi Wine...
Ukisikia nguvu ya wananchi ndio hii!
Najaribu kuwaza kama Lissu sifa zingemruhusu kushiriki uchaguzi hata angekuwa gerezani basi naona mambo yangekuwa upande wake
==========
Naibu Msemaji wa...
According to the preliminary results announced by the Electoral Commission’s chairperson, Justice Simon Byabakama, after the polls closed, Mr Museveni had garnered at 14,232 votes so far cast...
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Uganda, Simon Byabakama, amesema amepokea vitisho vingi vinavyomtaka asimtangaze mgombea fulani kuwa rais wa uchaguzi utakaofanyika Alhamisi (15 Januari 2026)...
Jana Kuna video nimeona Gen Z wa Uganda yaani wana vibe la hasira wakimshangilia Bob Wine
Aisee hiki ni kipindi kibaya sana Kwa majizi na madiktekta duniani
Yaani vijana wanawakataa hadharani...
Shughuli za upigaji kura zimechelewa kuanza katika maeneo mengi nchini Uganda. Awali ilitarajiwa kuwa vituo vingefunguliwa saa moja asubuhi, lakini kufikia saa mbili na nusu asubuhi, wapiga kura...
Naomba yaliyotokea Tanzania yasitokee Uganda vinginevyo ilazimike kuwa hivyo. Heri Bobi ashinde ndipo waganda wote washinde kuliko kushindishwa m7 ambaye umri umemuacha. Sijui kwanini watawala...
AN OPEN LETTER TO THE PEOPLE OF UGANDA AHEAD OF THEIR GENERAL ELECTION ON 15 JANUARY, 2026
Dear brothers and sisters of Uganda,
I recognize that tomorrow, Thursday 15 January, 2026, you will be...
Kufuatia mapendekezo mazito kutoka Kamati ya Usalama ya Taasisi za Serikali (Inter-Agency Security Committee), Tume ya Mawasiliano ya Uganda (UCC) siku ya Jumanne ilitoa maelekezo kwa waendeshaji...
Serikali ya Uganda imeyafungia mashirika yasiyo ya kiserikali 10, huku ikieleza sababu za kuchukua hatua hiyo.
Uamuzi wa kusitisha kwa muda usiojulikana shughuli za baadhi ya mashirika yasiyo ya...
Aisee Huu mchuano sio wa kukosa haya machama mawili yote yanaonekana kuukamia mchezo
Ukicheki chama la wanna (NUP) dhidi ya wakongwe (NRM) kila mtu yuko na energy na passion.
Hii ngoma...
The NUP Umbrella Campaign today was held at Ssendi’s Playground – Kabowa (Rubaga South). The event was hosted by Rubaga South NUP flag bearer Eugenia Nassolo.
#ProtestVote2026...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.