Mwandishi wa habari mkongwe nchini Uganda Joe Nam, mwenye umri wa miaka 55, alifanya kazi katika vyombo vya habari vya serikali kwa miongo mitatu kabla ya kustaafu na aliandika kitabu kinachozungumzia matokeo yanayoweza kushuhudiwa Uganda pale Rais Yoweri Museveni aliyetawala nchi hiyo kwa muda mrefu atakapoondoka madarakani.
Naibu msemaji wa Polisi Luke Owoyesigyire amesema uchunguzi unaendelea lakini ule wa awali umebainisha kuwa Joe Nam aliuawa usiku wa kuamkia jana Jumapili na mtu aliyekuwa ameficha uso wake na kwamba mshambuliaji huyo alifanikiwa kuondoka eneo la tukio.