Kwa mujibu wa Tume ya Uchaguzi nchini Uganda, kuna zaidi ya wapiga kura milioni 21 waliojisajiliwa kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Januari 15, 2026. Wapiga kura wataamua ni nani...
Mwanamke mwenye umri wa miaka 28, Rose Ajiko, amefariki dunia baada ya kukanyagwa katika msongamano wa watu wakati wa kugombea fulana za NRM wilayani Soroti. Tukio hilo lilitokea Jumamosi Januari...
Zikiwa zimebaki siku 5 mpaka kuelekea Uchaguzi Mkuu, App ya mawasiliano ya Bitchat imeshika nafasi ya 1 kwenye orodha ya apps za bure zilizopakuliwa zaidi nchini humo
Bitchat ni app inayojikita...
Polisi nchini Uganda wamemkamata raia mmoja pamoja na wafanyakazi wawili wa Tume ya Uchaguzi kwa tuhuma za kumiliki vifaa vya uchaguzi, ikiwemo fomu 862 zenye taarifa muhimu za wapiga kura na fomu...
Wakuu,
Kama wote tunavyojua kuwa huko Uganda inatarajiwa kufanya Uchaguzi Tarehe 15 Januari na kufikia sasa kampeni zimeendelea kupamba moto na kutaradadi huku washindani wakubwa kwenye Uchaguzi...
Shirika la kimataifa la haki za binadamu, Amnesty International, limeishutumu vikali serikali ya Uganda kwa kuendesha kile ilichokiita kampeni ya ukandamizaji wa kisiasa dhidi ya upinzani, siku...
Serikali ya Uganda imeweka masharti mapya yanayozuia vyombo vya habari kurusha matangazo ya moja kwa moja ya maandamano siku chache kabla ya uchaguzi wa rais unaotarajiwa kufanyika Januari 15...
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, ametoa wito kwa mataifa ya Afrika kuungana kijeshi na kimkakati ili kulinda usalama wa bara hili, akidai kuwa ingawa mataifa makubwa kama Marekani yana nguvu kubwa...
Hali inaendelea kuwa tete kwa upande wa Uganda
Polisi wa Uganda wamenaswa wakimpiga na kumkaba koo mwandishi wa habari aliyekuwa akifuatilia kampeni za mgombea urais Bobi Wine.
Polisi kwa mara nyingine wamempiga na kumjeruhi mwandishi wa habari aliyekuwa akifuatilia kampeni za mgombea urais wa chama cha National Unity Platform, Robert Kyagulanyi, katika Wilaya ya Kween...
Ugandan President Yoweri Museveni has called on African nations to unite militarily and strategically to safeguard the continent’s security, arguing that while major powers such as the United...
Rais wa Uganda Yoweri Museveni na mpinzani wake mkuu Robert Kyagulanyi maarufu Bobi Wine wameingia katika vita vya maneno, kila mmoja akimtuhumu mwenzake kupanga njama za kusababisha vurugu...
President Museveni's New Year's Message | Nakasero State Lodge, 31 Dec 2025
https://m.youtube.com/watch?v=Fh84WRufRiI
This is the annual presidential message delivered on 31 December 2025, where...
Polisi nchini Uganda wamesema wamemkamata mwanaharakati maarufu wa haki za binadamu, hatua inayokuja wakati serikali ya Rais wa muda mrefu Yoweri Museveni ikiendelea kuimarisha ukandamizaji dhidi...
Presha ya uchaguzi imekuwa kubwa sana nchini Uganda huku wananchi wakionesha kuchoka na rais wa wa tangu mwaka 1986 Mzee Museveni.
Siku ya uchaguzi ni 15 January 2026 na sioni ikiisha salama kama...
Habari wanaJF,
Ni muda nimekuwa kimya humu, lakini kuna jambo muhimu limejitokeza jirani zetu Uganda ambalo lina uhusiano wa moja kwa moja na kile tulichokiona Tanzania wakati wa uchaguzi — hasa...
Mzuka Wana jamvi!
Hawa walinzi wa rais wa Uganda Yoweri Kaguta Mseven Wanafanana kama wamachinga kariako na Karume.
Wanakaa kishamba shamba tu.
Yani wakowako tu na wanasura ngumu balaa kama...
Askari magereza wa nchini Uganda aliyetambulika kwa jina la Lawrence Ampe amefukuzwa kazi baada ya kuikosoa serikali kupitia mtandao wa TikTok, huku mamlaka zikisema alichokifanya ni utovu mkubwa...
Picha za kampeni za Rais Museveni zipo kote kwenye uwanja mkuu wa ndege wa Uganda lakini si za Bobi Wine au wagombea wengine. Kaulimbiu yake ni “kulinda mafanikio” baada ya miaka 40 madarakani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.