Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, amejitetea juu ya ushindi wake katika uchaguzi wa urais, akisema kuwa ushindi wa asilimia 72 si ule aliyotarajia. Amefafanua kwamba chama chake kina wanachama...
President Samia Suluhu Hassan has congratulated President-elect Yoweri Museveni on his re-election as President of the Republic of Uganda. In a message posted on X, President Samia said the...
Mwandishi wa Sky News anayehusika na masuala ya Afrika, Yousra Elbagir, pamoja na timu yake, wamekamatwa na vyombo vya usalama vya Uganda baada ya kunaswa wakirekodi askari wa polisi na jeshi...
Rais Yoweri Museveni wa Uganda amefafanua msimamo wake katika uchaguzi wa mwaka huu, ambapo anatafuta kuongeza muda wake wa uongozi kwa miaka mingine mitano, hivyo kuongeza zaidi ya miongo minne...
Kwa afya na umri wake, hata afanyeje, kuna siku ataitwa rais wa zamani au aliyekuwa rais wa Uganda YAK.
Jitu binafsi, choyo, king'ang'anizi, na hovyo sina mfano. Kwanini mijitu mingine haina utu...
Rais wa Jamhuri ya Kenya, William Samoei Ruto, amemtumia salamu za pongezi Rais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni, kufuatia kutangazwa kwa ushindi wake katika uchaguzi mkuu uliokamilika nchini...
Wakuu,
Naibu Waziri Mkuu wa Kwanza, Jenerali Moses Ali, amefanikiwa kutetea kiti chake cha Ubunge wa Jimbo la Adjumani West baada ya kushinda uchaguzi wa mwaka 2026.
Jenerali Ali, aliyegombea...
Jenerali Moses Ali, ambaye ni Makamu wa Kwanza wa Waziri Mkuu na kiongozi wa muda mrefu wa siasa, ameshinda tena kiti chake cha Bunge cha Jimbo la Adjumani Magharibi katika uchaguzi mkuu wa Uganda...
Watetezi wa haki za binadamu wanaounda mtandao wa NUPUSA (Network of Public Interest Lawyers and Human Rights Defenders in Uganda) wameeleza wasiwasi mkubwa kufuatia taarifa zinazohusishwa na...
Mwenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika amepongeza mwenendo wa uchaguzi nchini Uganda na kumpongeza Rais Yoweri Museveni kwa kuchaguliwa tena.
Mwenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika, Mheshimiwa...
Jeshi la Polisi la Uganda limekanusha taarifa zinazosambaa kwamba mgombea urais wa upinzani, Robert Kyagulanyi (Bobi Wine), alitekwa usiku na kupelekwa kusikojulikana.
Polisi wamesema madai hayo...
Wakuu,
Masaa baada ya Rais Yoweri Museveni kutangazwa mshindi wa uchaguzi wa Januari 15 kwa kupata asilimia 71.65 ya kura, kiongozi wa upinzani Bobi Wine ameweka video fupi kwenye X ikidai...
As of January 18th 2026, public internet access was restored in Uganda. This follows the announcement of the incumbent president of the country, H.E Yoweri Kaguta Museveni Tibuhaburwa, as the...
Through his X (Twitter) account, the Presidential Candidate from Oppostion, Robert Kyagulanyi Ssentamu assured his followers that he manage to escape the Police after information circulating that...
Katika hali iliyoshangaza wengi, Waziri wa Vijana nchini Uganda ametoa ufafanuzi wa kutatanisha kuhusu sababu za kukatika kwa huduma ya mtandao wakati huu wa mchakato wa uchaguzi mkuu nchini humo...
Kituo cha Televisheni cha Taifa (UBC) kimemhoji Waziri wa Nchi, Masuala ya Vijana na Watoto, Balaam Barugahara Ateenyi, kuhusu tatizo la mtandao nchini Uganda. Waziri alieleza sababu za kufungwa...
Tume Huru ya Uchaguzi imemtangaza Rais Museveni, mwenye umri wa miaka 81, kuwa mshindi wa Uchaguzi Mkuu wa Uganda uliofanyika Januari 15, 2026, akipata asilimia 71.6 huku mpinzani wake Bobi Wine...
Kufikia tarehe 16 Januari 2026, matokeo ya uchaguzi wa rais nchini Uganda bado yanaendelea kuhesabiwa kufuatia upigaji kura uliofanyika Januari 15. Taarifa rasmi zinatarajiwa kutolewa ifikapo...
Mgombea urais wa upinzani nchini Uganda Ssentamu Robert Kyagulanyi almaarufu Bobi Wine amepiga kura. Bobi alifika katika kituo cha Freedom Square Magere akiandamana na mkewe Barbie.
Bobi Wine wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.