The National Resistance Movement(NRM) has demonstrated strong support among Uganda’s youth in the recent regional youth member of parliament elections for the term 2026-2031.
NRM flag bearers all...
Following today’s bail application hearing, political and human rights activist Dr. Sarah Birete has been granted bail of shs.1million Uganda shillings.
She was arrested on 30th December 2025 and...
President Yoweri Kaguta Museveni presided over the 40th NRA/NRM Liberation Day anniversary held at Kololo Independence Grounds.
The event, attended by Members of Parliament, Ministers, and...
Over time, repeated claims of secret detention and harsh treatment whether proven or not, have created a serious trust gap between the state and the public.
The real issue isn’t this individual...
Vyeo vya kuteuliwa ni vya OVYO, Rais anaweza kukuapishia hata chooni! Sasa Jaji anaapishiwa shambani, yeye ni bwana shamba? Museveni bhana
Natamani kuomba KAZI ya kumwagilia miti ya Mh Rais...
Mkuu wa Jeshi la Uganda ametangaza kuwa amri mpya imetolewa kwa Wanajeshi wa nchi hiyo, kumkamata Bobi Wine, Mwanasiasa wa upinzani akiwa hai au amekufa.
Jenerali Muhoozi Kainerugaba, kupitia...
Serikali ya Uganda, kupitia Tume ya Mawasiliano ya Uganda (UCC), imetangaza kusimamisha kwa muda huduma za intaneti kwa umma na usajili wa laini mpya za simu nchini humo, ili kuzuia usambazawaji...
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Uganda, Jenerali Muhoozi Kainerugaba amesema Kiongozi wa Chama cha National Unity Platform (NUP) Robert Kyagulanyi Ssentamu Bobi Wine ameanzisha vita na taifa lake...
Mkuu wa majeshi ya Uganda MUHOOZI KAINERUGABA ambaye ni mtoto wa Rais Yoweri Museveni, amemjibu Donald Trump kwa jeuri kuwa iwapo ataendelea na mpango wake wa kuwawekea vikwazo maafisa wa Uganda...
...decades later, Uganda is still celebrating Liberation Day—but the arguments have changed.
Some say liberation gave them stability. Others ask why, after all these years, the same surnames...
Akitaka utawala wa familia yake ueendelee ni amwachie mtototo wake madaraka sasahivi akiwa hai.
Lakini akisubiria mpaka afe ndo utakuwa mwisho wa utawala wa familia yake.
Mfano ni ya Mugabe...
Mkuu wa jeshi ya Ulinzi ya Uganda (CDF), Jenerali Muhoozi Kainerugaba, ametangaza kuondolewa kwa vikwazo vya matumizi ya mitandao ya kijamii kufuatia kukamilika kwa mchakato wa uchaguzi nchini...
Afrika ni ngumu sana kwa baadhi ya mataifa!
Mfano mataifa ya Afrika Mashariki yanatia aibu sana katika mchakato wa uchaguzi walau Kenya kuna misingi ya Haki na sio Tanzania wala Uganda na mataifa...
Yesterday’s night left many Ugandans in shock after Robert Kyagulanyi(Bobi Wine) who is in hiding reported a Second millitary attack at his home in Magere, Wakiso district.
“a group of Masked men...
Wakuu,
Mkuu wa Majeshi Uganda, Muhoozi Kainerugaba, ameibua mjadala mkubwa baada ya kuandika ujumbe kwenye mtandao wa X akidai kuwa ana mamlaka ya kumzuia Robert Kyagulanyi Ssentamu, maarufu kama...
Kuzimwa kwa intaneti kote nchini Uganda wakati wa uchaguzi mkuu kumeathiri vibaya uchumi na maisha ya wananchi, hususan wafanyabiashara na vijana wanaotegemea huduma za mtandaoni. Biashara za...
Kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Bobi Wine, aliambia shirika la habari la AFP siku ya Jumatano kwamba yeye “si mhalifu” baada ya kuingia mafichoni kufuatia uchaguzi wa wiki iliyopita ambamo...
Chama cha People’s Front for Freedom (PFF) kimetoa tahadhari kali kuhusu hali ya afya ya kiongozi wake, Kizza Besigye, kikisema kuwa hali yake imedhoofu zaidi akiwa kizuizini.
Kwa mujibu wa chama...
Takribani watu 7 wameuawa katika vurugu zilizotokea usiku kwenye eneo la katikati mwa Uganda baada ya uchaguzi mkuu ambao unaendelea nchini humo
Matokeo yaliyotangazwa na Tume ya Uchaguzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.