Stella Nyazi jailed
A Ugandan university lecturer, Stella Nyazi has been jailed over a poem she wrote about the president’s mother’s private part which she shared on Facebook.
In the post...
Serikali nchini Uganda imedhamiria mpango wa kuwasajili wakulima na ng'ombe wao kwa ajili ya kurahisisha utambuzi na kuwawezesha fursa za soko la Kimataifa
Hayo yameelezwa na Waziri wa Kilimo...
Mzee wa miaka 70 akamatwa kwa tuhuma za kulipiga mawe gari ya Rais Museveni likiwa kwenye msafara. Alitenda kosa hili mwaka jana
Mzee Omar Risasi Amabua amekamatwa akiwa katika Mji wa Arua na...
Stealing from the Sick - Full documentary
- BBC Africa Eye
Everyone in Uganda is entitled to free medicine to combat killer diseases like malaria. Despite Government efforts to improve access to...
Jeshi la Polisi nchini Uganda liliwakamata watu hao wakiwa kwenye nyumba moja huko Rukiga na baada ya kuhojiwa walidai kuwa nyumba hiyo ndio kanisa lao.
Imethibitika kuwa Wanawake hao wote...
wananchi Uganda
Takriban maafisa 2,000 wa kijeshi wamepandishwa ngazi katika mabadiliko yaliofanywa Ijumaa Februari 8, na Rais wa Uganda Yoweri Museveni
Miongoni mwa wale waliopandishwa ngazi ni...
Mwanajeshi mmoja nchini Uganda ameuawa na wananchi wenye hasira kali nchini Uganda kwenye shambulizi linalodaiwa kuchochewa na kugombea pombe aina ya waragi.
Tukio hilo limeripotiwa kutokea...
Kulingana na tahadhari hiyo iliochapishwa katika ukurasa rasmi wa mtandao wa kijamii wa balozi hiyo, kuna uvumi wa mipango ya mashambulizi katika maeneo yanayopendwa sana na raia wa kigeni katika...
June 25, 2019
Beijing, China
President Yoweri Museveni has arrived in Beijing China for a four-day working visit on the invitation of his Chinese counterpart, President Xi Jingping.
On arrival...
Huwezi kuwa na Bunge imara na huru wakati Spika mwenyewe au wabunge wake ni wanafiki na wanajikomba komba kwa muhimili mwingine hususani kwa rais.
Wala uimara au uhuru wa Bunge haupimwi kwa...
Mtafiti wa Chuo kikuu cha Makerere nchini Uganda Dkt. Stella Nyanzi ameagizwa kujitetea katika kesi ambapo anatuhumiwa kumtukana rais Yoweri Museveni.
Ikitoa uamuzi wake mahakama iliopo katika...
Ubalozi wa Marekani nchini Uganda umetoa tahadhari nyengine ya shambulio la kigaidi nchini humo
Kulingana na tahadhari hiyo iliochapishwa katika ukurasa rasmi wa mtandao wa kijamii wa balozi hiyo...
IGP wa Uganda nae ajitokeze aseme kuwa taarifa walikuwa nazo hata kabla ubalozi haujatoa tahadhari.
Wamarekani ni watu wenye tecknolojia ya hali ya juu sanaa na wao ndio wanaomiliki mitandao ya...
Mtoto wa miaka mitano nchini Uganda apatikana kuwa na Ebola, shirika la afya duniani (WHO) limethibitisha.
Hiki ni kisa cha kwanza kuthibitishwa katika nchi hiyo wakati kukishuhudiwa mlipuko wa...
Kiongozi wa upinzani Kizza Besigye na Mbunge Robert Kyagulani maarufu Bobi Wine nchini Uganda, wamekubaliana kufanya kazi kwa pamoja ili kukishinda chama kilichoko madarakani cha NRM cha Rais...
Zaidi ya watu sita wamethibitishwa kupoteza maisha na wengine zaidi ya 50 hawajulinaki waliko kufuatia maporomoko ya matope katika wilaya ya Bududa, mashariki mwa Uganda.
Nyumba zaidi ya 150...
Uamuzi wa Serikali ya CCM inayoongozwa na Dkt John Pombe Magufuli ya kupiga marufuku pombe za viroba 2017 sasa umeigwa na nchi mbalimbali ikiwemo Serikali ya Uganda.
Serikali ya Uganda nayo...
Haaa uuwiii eti shirika la ndege litaanza kupata faida baada ya miaka 10,hii ni baada ya kufufuliwa,mbona sisi ATCL imepiga faida ya 29 billions ndani ya mwaka mmoja tena hayo maneno yamesemwa na...
Source: The Guardian
Sam Little arrested after Guardian exposed massive distribution network of MMS in Uganda that was being supervised by US pastor
A British man has been arrested in Uganda on...