Ugandan News and Politics

Serious discussions on Politics and Latest news from Uganda

On JF:

Aliyekuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi la Uganda, Jenerali, Kale Kayihura amefikishwa katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita(ICC) kwa tuhuma za kuhusika na jinai dhidi ya binadamu Anadaiwa...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Rais Yoweri Museveni Jumapili aliwafuta kazi mkuu wa polisi Jenerali Kale Kayihura pamoja na Waziri wa Usalama wa Nchi Jenerali Henry Tumukunde. Katika taarifa kwa njia ya Twitter Rais alisema...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Wananchi nchini Uganda wameingiwa na hofu kubwa mara baada ya wimbi la utekaji kushamili nchini humo, ambapo mpaka sasa watu 24 hawajulikani walipo. Kwa mujibu wa Gazeti la Monitor nchini humo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Aliyekuwa mgombea urais Dk Kizza Besigye ameshinda kesi yake dhidi ya Shirika la Utangazaji Uganda (UBC) kwa kukataza matangazo yake ya kampeni za mwaka 2011. Mahakama Kuu chini ya Jaji...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Rais Yoweri Museveni amefichua siri kwamba uamuzi wa kurekebisha Ibara ya 102 (b) ya Katiba kwa dhati ulifanywa baada ya kuchokozwa na wanasiasa wa upinzani. Museveni amesema chama cha National...
0 Reactions
0 Replies
959 Views
Museveni: ‘Bujagali deal was hidden from me’ February 23, 2018 Written by Alon Mwesigwa WhatsApp Facebook Twitter Email Share President Museveni has revealed that government officials who...
1 Reactions
0 Replies
772 Views
KAMPALA, UGANDA: Taasisi ya Kimataifa inayofuatilia Haki za Binadamu imetoa taarifa yake inayobainisha kuwa Jeshi la Polisi Nchini Uganda na taasisi nyingine za usalama kufanya vitendo vya...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Uganda imeadhimisha siku ya uhuru wake leo na rais wa nchi hiyo Museveni alikagua kikosi cha jeshi na kuwahutubia wananchi wake. Ni katika hotuba hiyo ndipo alipotangaza serikali ya nchi yake...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
World Bank boss slams Uganda’s infrastructure projects
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ugandan Socialite and Businesswoman Zarina Hassan(Zari) has officially broken up with her Tanzanian fiancè, Singer Nasibu Abdul(Diamond Platnumz). As posted on her Instagram Zari mentions...
2 Reactions
7 Replies
5K Views
Mwanamuziki wa Nchini Uganda, Moses Sekibooga maarufu kwa jina la kisanii Mozey Radio afariki dunia Mwanamuziki huyo alikimbizwa Hospitali ya Nsambya siku ya tarehe 23 Januari, 2018 baada ya...
14 Reactions
421 Replies
82K Views
LIRA, UGANDA: Mwanaume ahukumiwa kufanya kazi za kijamii kwa siku 40 baada ya kukutwa na hatia ya kupaka Pilipili kwenye nguo za ndani za Mkewe > Hakimu wa Mahakama huko Lira, Hilary Kiwanuka...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Rais wa Uganda Yoweri Museveni amesema anampenda rais wa Marekani Donald Trump katika hotuba yake wakati wa ufunguzi wa bunge la Afrika Mashariki jijini Kampala. Museveni alisema Marekani ina...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
East Africa: Some of My Ministers Are Not Ugandans, Says Museveni. By Nelson Wesonga Kampala — President Museveni says some of the members of his cabinet are not from Uganda. He named Julius...
0 Reactions
0 Replies
692 Views
According to news in public domain, Stella Nyanzi is also "frank" I can't agree less. Is she treasonous or just being Trumpnous! Quite "frankly" if Trump was to be president of an African nation...
0 Reactions
0 Replies
724 Views
How are you guys,I have made android application that you can stream Ugandan radio stations free any where in this world just free.it contains more than 30 radio stations from Uganda.Download now...
2 Reactions
0 Replies
756 Views
Rais wa Uganda Yoweri Museveni amesema anatafakari uwezekano wa kuanza tena kuwanyonga wahalifu nchini humo. Rais Museveni amesema licha ya kwamba yeye ni "Mkristo" kuwa dini yake imemzuia...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Francis Gimara, questions articles 8 and 10 of the constitutional amendment Act which extend the terms of office of MPs and Local government leaders by two more years The Uganda Law Society has...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Uganda: President Receives UAE Investor allafrica.com Jan 15, 2018 3:42 PM press release President Yoweri Museveni has today received and held a meeting with Dr. Ahmed Eltigani Al Mansourie...
0 Reactions
0 Replies
627 Views
Wizara ya Mambo ya nje ya Marekani imemtimua balozi mdogo wa Uganda nchini humo kutokana na ugomvi wa kifamilia uliosababisha ampige mke wake , mangumi na mateke . Chanzo - Mwananchi Mytake -...
26 Reactions
78 Replies
9K Views
Back
Top Bottom