Ubalozi wa Marekani Watahadharisha kutokea kwa shambulio la kigaidi nchini Uganda

proskaeur

proskaeur

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2017
Messages
1,115
Points
2,000
proskaeur

proskaeur

JF-Expert Member
Joined Mar 8, 2017
1,115 2,000
Ubalozi wa Marekani nchini Uganda umetoa tahadhari nyengine ya shambulio la kigaidi nchini humo

Kulingana na tahadhari hiyo iliochapishwa katika ukurasa rasmi wa mtandao wa kijamii wa balozi hiyo kuna uvumi wa mipango ya mashambulizi katika maeneo yanayopendwa sana na raia wa kigeni katika Afrika Mashariki ikiwemo Uganda.

Ubalozi huo umesema kuwa ijapokuwa hauna ushahidi wa kutosha kuhusu tishio hilo ama habari kuhusu wakati ambapo mashambulizi hayo yatafanyika umewaonya wakaazi kuchukua tahadhari.

“Ubalozi hauna ushahidi wa moja kwa moja wa tishio hilo ama taarifa za muda gani mashambulizi yatatokea, hata hivyo unawaonya wananchi kuchukua tahadhari.”

Umewataka raia kuwa macho wakati wowote katika maeneo wanayozuru, kutahadhari dhidi ya makundi ya watu mbali kufuatilia habari mara kwa mara .

Aidha umewataka raia kuwa macho katika maeneo yanayopendelewa sana na watalii hususan wale wa mataifa ya magharibi.

Tahadhari hiyo inajiri siku moja tu baada ya ubalozi huo kutoa tahadhari nchini Tanzania ambayo imewatakaa wakaazi kuchukua tahadhari hususan wale waliopo katika eneo la Masaki.

Eneo hilo lililopo kwenye rasi ya Msasani ni moja ya maeneo ya makazi ya kigahari zaidi jijini humo

Tahadhari hiyo ilibainisha kuwa, maeneo yanayolengwa ni mahoteli na migahawa ambayo hutembelewa na watalii ikiwemo eneo maarufu la maduka ya Slipway.

Tutaendelea kukujuza zaidi kadri tutakavyokwa tunapokea taarifa juu ya tahadhari hiyo.

My take:

Tusichukulie poa hizi tahadhari maana wenzetu inaweza kuwa kweli wamekiona icho kitu so tuache kusikiliza maneno ya wanasiasa Sisi kama wananchi wa kawaida tuchukue tahadhari. Maana hakuna utakachopoteza kwa kuchukua tahadhari hata kama taarifa hizi hazina kweli

" Ni bora kuamini Mungu yupo halafu ukifika usimkute kuliko kukataa halafu ukamkuta yupo kweli,,"
 
proskaeur

proskaeur

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2017
Messages
1,115
Points
2,000
proskaeur

proskaeur

JF-Expert Member
Joined Mar 8, 2017
1,115 2,000
Chanzo bbcswahili

Baba Swalehe

Baba Swalehe

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2017
Messages
11,185
Points
2,000
Baba Swalehe

Baba Swalehe

JF-Expert Member
Joined Jun 6, 2017
11,185 2,000
Ngoja nianze kujifunza kiarabu ....

Yakinikuta ni mwendo wa takbir, kaka gaidi takbir
 
LOTH HEMA

LOTH HEMA

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2015
Messages
4,992
Points
2,000
LOTH HEMA

LOTH HEMA

JF-Expert Member
Joined Dec 6, 2015
4,992 2,000
Kama Wana taarifa waseme tu ni kina nani na wana malengo gani kushambulia hizo nchi
 
Entim

Entim

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2013
Messages
3,573
Points
2,000
Entim

Entim

JF-Expert Member
Joined Jun 7, 2013
3,573 2,000
Faiza Foxy popote ulipo kuja hapa utupe nasaha zako kuhusu tofauti ya ugaidi na uislamu
Ubalozi wa Marekani nchini Uganda umetoa tahadhari nyengine ya shambulio la kigaidi nchini humo

Kulingana na tahadhari hiyo iliochapishwa katika ukurasa rasmi wa mtandao wa kijamii wa balozi hiyo kuna uvumi wa mipango ya mashambulizi katika maeneo yanayopendwa sana na raia wa kigeni katika Afrika Mashariki ikiwemo Uganda.

Ubalozi huo umesema kuwa ijapokuwa hauna ushahidi wa kutosha kuhusu tishio hilo ama habari kuhusu wakati ambapo mashambulizi hayo yatafanyika umewaonya wakaazi kuchukua tahadhari.

“Ubalozi hauna ushahidi wa moja kwa moja wa tishio hilo ama taarifa za muda gani mashambulizi yatatokea, hata hivyo unawaonya wananchi kuchukua tahadhari.”

Umewataka raia kuwa macho wakati wowote katika maeneo wanayozuru, kutahadhari dhidi ya makundi ya watu mbali kufuatilia habari mara kwa mara .

Aidha umewataka raia kuwa macho katika maeneo yanayopendelewa sana na watalii hususan wale wa mataifa ya magharibi.

Tahadhari hiyo inajiri siku moja tu baada ya ubalozi huo kutoa tahadhari nchini Tanzania ambayo imewatakaa wakaazi kuchukua tahadhari hususan wale waliopo katika eneo la Masaki.

Eneo hilo lililopo kwenye rasi ya Msasani ni moja ya maeneo ya makazi ya kigahari zaidi jijini humo

Tahadhari hiyo ilibainisha kuwa, maeneo yanayolengwa ni mahoteli na migahawa ambayo hutembelewa na watalii ikiwemo eneo maarufu la maduka ya Slipway.

Tutaendelea kukujuza zaidi kadri tutakavyokwa tunapokea taarifa juu ya tahadhari hiyo.

My take:

Tusichukulie poa hizi tahadhari maana wenzetu inaweza kuwa kweli wamekiona icho kitu so tuache kusikiliza maneno ya wanasiasa Sisi kama wananchi wa kawaida tuchukue tahadhari. Maana hakuna utakachopoteza kwa kuchukua tahadhari hata kama taarifa hizi hazina kweli

" Ni bora kuamini Mungu yupo halafu ukifika usimkute kuliko kukataa halafu ukamkuta yupo kweli,,"
 
Forum statistics

Threads 1,316,459
Members 505,652
Posts 31,891,140
Top