SERIKALI YA JPM YAWA MFANO WA KUIGWA AFRIKA UGANDA NAYO YAPIGA MARUFUKU POMBE ZA VIROBA

  • Thread starter Boniphace Kichonge
  • Start date
Boniphace Kichonge

Boniphace Kichonge

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2017
Messages
1,203
Points
2,000
Boniphace Kichonge

Boniphace Kichonge

JF-Expert Member
Joined Jul 31, 2017
1,203 2,000
Uamuzi wa Serikali ya CCM inayoongozwa na Dkt John Pombe Magufuli ya kupiga marufuku pombe za viroba 2017 sasa umeigwa na nchi mbalimbali ikiwemo Serikali ya Uganda.
Serikali ya Uganda nayo imepiga marufuku unywaji na uuzaji wa pombe zinazouzwa kwenye mifuko ya plastiki au viroba ambavyomaafisa wanasema kuwa vina madhara makubwa ya kiafya.
Viroba hivyo vya pombe za spiriti au Konyagi - wakati mwingine huwa na kiwango cha kileo cha asilimia 45 kilichokubaliaka - hupendelewa zaidi na wanywaji wenye mapato ya chini kwababu huwa vinauzwa kwa bei ya chini , sawa na senti 13 za Marekani.
Waganda ni miongoni mwa wanywaji wakuu wa pombe barani Afrika.
Watengenezaji wa vinywaji hivyo nchini Uganda sasa watatakiwa kusindika vinywaji vyao kwenye machupa yenye ukubwa wa chini ya mililita 200.
Waziri wa biashara na vyama vya ushirika nchini Uganda Amelia Kyambadde ameiambia BBC kuwa viroba vilikuwa hata vinanunuliwa na watoto wa shule.
" Kwasababu vinywaji hivi ni nafuu , watu huvibeba ndani ya mikoba yao, mikebe ya zana za hesabu (mathematical sets) , na mifukoni mwao . Unywaji wake umekuwa ni wa kiwango cha juu sana ," amesema.
Mwandishi wa BBC mjini Kampala Dear Jeanne anaripoti kuwa Waganda wanahofia kuwa marufuku ya viroba itawashinikiza wanywaji kununua pombe haramu.
Uganda ni nchi ya saba kwaunywaji wa pombe barani Afrika kwamujibu wa ripoti ya dunia kuhusu unywaji wa pombe ya shirika la Afya duniani WHO ya mwaka 2018.
Asilimia 21% ya Waganda hujihusisha na unywaj wa pombe wa kupindiukia , WHO linasema.
Marufuku hiyo ni moja ya hatua chache ambazo zimechukuliwa na Uganda kujaribu kukabiliana na unywaji wa pombe kupindukia.
Haina sera ya taifa juu ya pombe, na kuna udhibiti mdogo sana wa vileo na matangazo
Hata hivyo, serikali inasema kuwa inaandaa sheria ya kudhibiti ,utengenezaji wa pombe nyumbani
 
elvischirwa

elvischirwa

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2013
Messages
4,182
Points
2,000
elvischirwa

elvischirwa

JF-Expert Member
Joined Jan 26, 2013
4,182 2,000

Wee unawashwa kweli, zipo nchi Afrika haziruhusu pombe aina yoyote, hizo kwako na muwasho wako hauzioni!
 
Love Nuru

Love Nuru

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2018
Messages
604
Points
1,000
Love Nuru

Love Nuru

JF-Expert Member
Joined Jan 12, 2018
604 1,000
Waganda wote wachumba tu....
 
Forum statistics

Threads 1,304,892
Members 501,583
Posts 31,530,921
Top