Habari wakuu naomba mnijuze kama kuna web browser iliyo na speed na yenye extension nyingi kushinda google chrome
nataka nijaribu browser mpya maana hii chrome nimetumia miaka mingi sasa japo iko...
Habar za hap wapendwa...naomben msaada wenu jf Nina cm ya tecno W3 imegoma kutuma na kupokea WhatsApp msg ,nikitaka kutuma inasema connect to the internet wakat data ziko on...nimejaribu ku...
Habari wana jamvi mwenzenu ninapata wakati mgumu sana kuelewa tatizo la simu yangu. Picha nikipiga zinapigwa vizuri lkn baadae ukirudi kuziangalia unakuta zina marangirangi ya blue ama...
Wakuu nipo sehemu flan umeme haujafika so tunatumia solar. Na kuna kampuni kadhaa za solar zinazotoa huduma hii kwa malipo ya kila siku. Hii inakuwa kama wanakukopesha mtambo wa solar mf mobisol...
Naomba sana wandugu,nimebadilisha simu toka techno kwenda samsung, ,sasa kila nikijaribu kuinstall watsapp inakataa kuitambua namba yangu ya airtel ila ya tigo inkubali,,nimapoenda kwenye option...
Habari wapendwa. Hope mko salama kabisa.
Nahitaji kufunga security cameras ofisini kwangu. Naombeni mnishauri zinapatikana wapi? Aina gani ni nzuri na bei yake. Nahitaji camera 3 moja iwe night...
Kwa mara nyingine tena, nimeona nimalize kiu na utata uliokuwa ukinisumbua kwenye kichwa changu kwa muda mrefu.
Mada mezani ni kati ya Bmw 5Series 2007 na Toyota Crown Athlete 2008, ishu imekuja...
Habarini wandugu, mimi na rafikiyangu wote ni watu wa information technology I.T tuna lengo lakuanzisha mobile application itakayo wawezesha watumiaji wa simu kutuma,kupokea na kutoa fedha bira...
Researchers at the Wellcome Trust Sanger Institute in Cambridge found that our genes and those of the gorilla are 98 per cent identical, although we share around 99 per cent of our make-up with...
FBI baada ya kuhangaika wee mwishoe walifanikiwa kufungua iphone 5c ya seyyed farook, sasa apple leo hii wame-update ios kuziba mianya. hivyo FBI wakitaka kufungua tena itabidi watumie janja nyingine.
Ninatumia window 8.1 lakini PC yangu inashindwa kusoma media transfer nikichomeka USB ilhali vitu vyote vingine ina respond kama vile kucharge,camera lakini nikibonyeza sehemu ya media transfer...
Habari want jf, natumaini Nyote mpo poa, naomba msaada wa kuweza kupakua kila program nikitaka kupakua nitumie search engine ipi nikihitaji program kwa kutumia PC
Naomben msaada wen viongoz Nina box LA miracle ila sifaham nine watu wanovyo kunect na visim vidogo vya batan naomben mnisaidie viongoz juu ya hili tatizo lang