Muwekezaji/investor/business partner anahitajika


Edson Jobs

Edson Jobs

Member
Joined
Nov 20, 2016
Messages
28
Likes
47
Points
15
Age
27
Edson Jobs

Edson Jobs

Member
Joined Nov 20, 2016
28 47 15
Habarini wandugu, mimi na rafikiyangu wote ni watu wa information technology I.T tuna lengo lakuanzisha mobile application itakayo wawezesha watumiaji wa simu kutuma,kupokea na kutoa fedha bira kujali line za simu zao kama tofauti ama za kampuni moja,
na hapo baadae tuta boresha zaidi ili kuwawezesha watumiaji kununua vitu mbali mbali kama luku, vocha kulipia ving’amuzi nk,

tumeshaanza development na tupo pazuri ,changamoto tuliokutananayo ni vibali kutoka mamlaka husika za serikali hivyo tunahitaji muwekezaji / business partner atakae tuwezesha kukidhi vigezo vya selikali na tukapata vibali vya kuanza bussness.
ni big project yenye big challenges lakini tukifanikisha itakua na big profit pia.

e-wallet - Android Apps on Google Play

Kama kuna yoyote yuko interested tafadhali nitafute kwa 0676333359
 
Upepo wa Pesa

Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2015
Messages
12,163
Likes
14,970
Points
280
Upepo wa Pesa

Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Joined Aug 8, 2015
12,163 14,970 280
Cc Fasir
 
Graph

Graph

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2016
Messages
1,796
Likes
3,707
Points
280
Graph

Graph

JF-Expert Member
Joined Jul 20, 2016
1,796 3,707 280
Hongera kwa kujaribu, ila nadhani pia unatambua Sheria za nchi, zinasema any new company inayotaka kujihusiha na monetary transactions ili uwe registered ili uanze kazi unahitaji uwe na mtaji wa Tshs. 500Million. Sijui kama umeishaifikiria hiyo pesa.
 
Edson Jobs

Edson Jobs

Member
Joined
Nov 20, 2016
Messages
28
Likes
47
Points
15
Age
27
Edson Jobs

Edson Jobs

Member
Joined Nov 20, 2016
28 47 15
Hongera kwa kujaribu, ila nadhani pia unatambua Sheria za nchi, zinasema any new company inayotaka kujihusiha na monetary transactions ili uwe registered ili uanze kazi unahitaji uwe na mtaji wa Tshs. 500Million. Sijui kama umeishaifikiria hiyo pesa.
Ni pesa ndefu but ndio maana tupo hapa mkuu..
 

Forum statistics

Threads 1,272,951
Members 490,211
Posts 30,465,560