Apple washafanya yao, FBI tafuteni janja nyingine

Sexer

JF-Expert Member
Oct 22, 2014
8,428
8,138
ImageUploadedByJamiiForums1459526256.064492.jpg

FBI baada ya kuhangaika wee mwishoe walifanikiwa kufungua iphone 5c ya seyyed farook, sasa apple leo hii wame-update ios kuziba mianya. hivyo FBI wakitaka kufungua tena itabidi watumie janja nyingine.
 
View attachment 334071
FBI baada ya kuhangaika wee mwishoe walifanikiwa kufungua iphone 5c ya seyyed farook, sasa apple leo hii wame-update ios kuziba mianya. hivyo FBI wakitaka kufungua tena itabidi watumie janja nyingine.
Wameshapata walichokuwa wanakitafuta. By the way FBI walisaidiwa na kampuni moja ya Israel. Nasikia hao jamaa hawashindwi kitu.
 
Hii ingetokea Tanzania ungesikia marekani wakisema hamna haki za binadamu.
Hivi unajua kuwa mpaka leo Marekani wanawake bado wanalipwa mishahara ya chini sana kulinganisha na wanaume hata kama wanafanya kazi ile ile moja? Wacheza soka wa kike wameamua kwenda mahakamani kudai malipo sawa (tazama picha hapo chini kuona tofauti za malipo). Imagine kinchi masikini kama hiki chetu wanachokipa misaada ndo kingekuwa na ubaguzi huu wa wazi. Tungekosa misaada bila shaka. Jamaa wabaguzi sana na ukiwabinya tu wakakosa wanachokitafuta basi wanatafuta visingizio. Hypocrites!
30aa6326162544cac284c11c592614b7.jpg
 
Hata wa update kitu FBI wakikomalia tu watazifungua hata hzo
 
Hivi unajua kuwa mpaka leo Marekani wanawake bado wanalipwa mishahara ya chini sana kulinganisha na wanaume hata kama wanafanya kazi ile ile moja? Wacheza soka wa kike wameamua kwenda mahakamani kudai malipo sawa (tazama picha hapo chini kuona tofauti za malipo). Imagine kinchi masikini kama hiki chetu wanachokipa misaada ndo kingekuwa na ubaguzi huu wa wazi. Tungekosa misaada bila shaka. Jamaa wabaguzi sana na ukiwabinya tu wakakosa wanachokitafuta basi wanatafuta visingizio. Hypocrites!
30aa6326162544cac284c11c592614b7.jpg
wamarekani wapo sawa kabisa mkuu mwanamke hatakiwi kupata pesa mingi hasa hawa wetu wa kibongo mwanamke akikuzidi kipato ni shida...
 
Hivi unajua kuwa mpaka leo Marekani wanawake bado wanalipwa mishahara ya chini sana kulinganisha na wanaume hata kama wanafanya kazi ile ile moja? Wacheza soka wa kike wameamua kwenda mahakamani kudai malipo sawa (tazama picha hapo chini kuona tofauti za malipo). Imagine kinchi masikini kama hiki chetu wanachokipa misaada ndo kingekuwa na ubaguzi huu wa wazi. Tungekosa misaada bila shaka. Jamaa wabaguzi sana na ukiwabinya tu wakakosa wanachokitafuta basi wanatafuta visingizio. Hypocrites!
30aa6326162544cac284c11c592614b7.jpg
bora hao wanalipwa hivi Twiga stars wanapewa posho??
Wana gari lao kama ilivyo kwa taifa stars?
wana wadhamini??

Ukijbu hayo maswali ndio utaona wapi ni bora kwa usawa wa jinsia.
 
Back
Top Bottom