Hiyo ni moja kati ya input devices za simu. Inasense mwanga, kwamba inatumikaje hapo sasa inategemea na application program husika imetengenezwa ili iinteract vipi na hiyo sensor.
Mifano michache
- Inatumika kuwasha flash kama unapiga picha katika giza(Only kama umeweka automatic flash na kunagiza kweli).
- Proximity sensor hii jamaa ameelezea hapo juu. Lakini kuna baadhi ya simu unaweza ukaseti kama simu inaita na ukiigeuza mfano kwenye meza (Kioo kiangalie chini mezani) inakata simu au inaweka silent.
- Inatumika kucontrol brightness ya simu kama umeweka automatic
- Inatumika kugundua kama umeiweka mfukoni ili ilock screen na isijibonyeze bahati mbaya.
Hamna kikomo cha matumizi ya kifaa hicho, apps tofauti tofauti zinaweza kuitumia kwa kadri walivyokusudia.
[HASHTAG]#FreeMaxenceMello[/HASHTAG]