Naomba sana wandugu,nimebadilisha simu toka techno kwenda samsung, ,sasa kila nikijaribu kuinstall watsapp inakataa kuitambua namba yangu ya airtel ila ya tigo inkubali,,nimapoenda kwenye option ya change nomber inagomea kwenye codes na inanipa mda mrefu sn wa kusubilia no.mala baada ya masaa saba mala two days ,nifanyeje