Namna ya kuchakachua solar za kampuni

Namna ya kuchakachua solar za kampuni

Ok9

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2013
Posts
4,556
Reaction score
4,169
Wakuu nipo sehemu flan umeme haujafika so tunatumia solar. Na kuna kampuni kadhaa za solar zinazotoa huduma hii kwa malipo ya kila siku. Hii inakuwa kama wanakukopesha mtambo wa solar mf mobisol.
Hawa vifaa vyao ni vizur sasa nataka nichukue halafu nichakachue nisilipie.
Nani mtaalamu navyo humu ?
 
Wale waliozima flowmetre pale bandarini ni wataalam sana watafute kwa namba hii 0768895
 
mifumo ya solar iko bei chini sana sioni sababu ya watu kuibiwa na hizi kampuni za mobisol, mkopa nk,. wamewafungia wengi sana lakini wengi wao tena wameshindwa kulipia. ushauri wangu kanunue mfumo wako kulingana na mahitaji yako maana bei ya solar sasa hivi hata maskini anamudu
 
Aisee! Halafu na sisi tunawaza maendeleo!
Mweee!
 
Wakuu nipo sehemu flan umeme haujafika so tunatumia solar. Na kuna kampuni kadhaa za solar zinazotoa huduma hii kwa malipo ya kila siku. Hii inakuwa kama wanakukopesha mtambo wa solar mf mobisol.
Hawa vifaa vyao ni vizur sasa nataka nichukue halafu nichakachue nisilipie.
Nani mtaalamu navyo humu ?
System yao ni kuwa unaulipia umeme au unalipia hio solar then badae inakuwa ya kwako au?
 
Yao inaonekana bora zaid mkuu

Back
Top Bottom