Hivi kuna web browser inayoizidi Google chrome

PlayBoyMwema

JF-Expert Member
Jul 27, 2014
1,714
1,821
Habari wakuu naomba mnijuze kama kuna web browser iliyo na speed na yenye extension nyingi kushinda google chrome

nataka nijaribu browser mpya maana hii chrome nimetumia miaka mingi sasa japo iko safi na inanitimizia kila nachokitaka
 
UC Browser is the best.

Nimeshazitumia zote ikiwa ni pamoja na Opera Mini, Google Chrome,Dolphin, na Browser zingine kibao.

UC ni nzuri kupitiliza na speed yake ni kubwa mno. Pili unaweza kuadd tabs mpaka zifike 30 na Display yake ni nzuri sana.
 
Yes n kweli nimeshatumia uc browser naikubali speed yake japo Kwa Sasa nipo operamini
 
UC Browser is the best.

Nimeshazitumia zote ikiwa ni pamoja na Opera Mini, Google Chrome,Dolphin, na Browser zingine kibao.

UC ni nzuri kupitiliza na speed yake ni kubwa mno. Pili unaweza kuadd tabs mpaka zifike 30 na Display yake ni nzuri sana.
uc browser ya simu mwisho tab 10 tu
ila speed ni best
ila opera min wapo vizuri kimuonekano hata utumiaji ni rahisi
 
Hivi uc browser inapatikana pia kwenye Laptop window 10? Mimi naikubali sana Hii uc kwenye simu niambieni kama ipo version ya PC nipakue
 
Back
Top Bottom