Smart Elite ni wamekuwa wakiwasaidia watu wengi namna ya kutengeneza simu au computer yako mwenyewe bila kwenda kwa fundi. Ni kampuni ambayo itazindua App yake karibun. Nimezipenda huduma zao...
Me nimemaliza bachelor degree ya computer science in software engineering na sasahivi namalizia ccna baada ya kumaliza oracle database 11g ila lengolangu kubwa nahitaji kuwa network engineer...
Wakuu ninawezaje kupata sms au call confrimation code ya whatsapp line yangu imefungiwa haitumik kwenye mawasiliano na ilikwisha poteaga
N.b:nina shida nayo sana wakuu..
Niaje wadau,
Ni muda sana sijapost kitu humu ndani, mambo mengi. Leo ningependa kuwasilisha shell script niliyotengeneza kunisaidia kutafuta decrypted hashes, sana sana za MD5. Script hii...
Wadau,
Nahitaji msaada wenu juu ya hv vitu,
mana kwa mfumo, wa elimu Tz some time, mtu inabid ukatishe ndoto zako uangalie, ki2 cha kusomea kulingana na soko la ajira. Mana mifumo kwa hapa Tz...
File details:MT6580__TECNO__TECNO-L8Plus__TECNO-L8__5.1__L8PLUS-H805C1-L-160721V29
Naomba la kukopy toka kwenye simu ninayo download hayawashi simu sijapata file lenye details za hapo juu (Reason...
Vifaa hivi vifuatavyo bei yake inasimamaje?
i) Main switch "Havels" 12 ways
ii) Circuit Breaker "Havels" single phase
iii) Twin cable 10mm
iv) Single core cable 1.5mm kwa roll moja red,
black na...
Mtaani ni shinda uamuzi ni wako kuja kupata mafunzo ya kujifunza kufanya installation za camera au kusubiri ajira GS POWER INSTALLATION PAMOJA NA CHUO KIKUU CHA KENVISION NAIROBI PAMOJA NA WADAU...
Wakuu natumaini mu wazima wa afya.
Lengo la kuja hapa ni msaada wa namna ya kupata chanel za Azam TV maana wananiambia "NO PROGRAMME" hata nikiserch hakuna channel wala radio nayopata...
Habari za leo wanajamvi,
Naomba msaada wenu katika hili. nahitaji kusoma IT katika ngazi ya advance diploma, nimekuwa nikijiuliza ni chuo gani kitanifaa kwa kozi hiyo ambapo kama nitahitimu...
Guys Nina pc niliweka flash ya mtu yenye wale virus wanaohide files na kuziweka shortcut ... sasa kila nikiweka any external drive inapigwa shortcut nauliza jinsi ya kuwatoa completely kweny PC.
Natumia Nokia Lumia 520 windows 8.1, nataka Ku upgrade ili niweze kutumia windows 10. Kuna application inaitwa windows 10 upgrade advisor sasa nikitaka Ku upgrade to windows 10 inasema not...