Surgical Blade
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 349
- 16
Wadau,
Nahitaji msaada wenu juu ya hv vitu,
mana kwa mfumo, wa elimu Tz some time, mtu inabid ukatishe ndoto zako uangalie, ki2 cha kusomea kulingana na soko la ajira. Mana mifumo kwa hapa Tz inabadilika badilika,
.
SaSa nimeombwa kutoa ushauri,
hivyo nakuja kwenu wadau mnijuze ni kipe chenye uwanda mkubwa kiajira.