kama kila MTU anavyojua dunia imeshaa Na inaendelea ku undergo a digital revolution.Hapa Africa tunaona innovations kma sim banking Na "bullshit waste of talent programs to save society nyingi...
wakuu habari ,naliomba mwenye kujua jinsi ya kujiunga na mtandao wa matangazo kwa website wa pinpoint anifahamishe,natangulia shukrani kwa atakayefanikisha
Simu yangu ya huawei ascend g730 ilianguka ikazima nikawa naitumia kawaida tu siku ya siku nikawa nikiweka chaji inaniandikia error! Please plug out charger..nkanunua betri jipya lakini wapi...
Habari zenu wadau.
Baada ya kuzitumia kwa mda mrefu Tecno.. Nimeona nibadilishe aina nyingine.. Naomba ushauri kuhusu aina hii ya Infinix.. Ubora na kasoro, zake...
Karibu........
Hamjambo wadau? mwenye ujuzi naomba msaada tafadhali, ninatumia simu aina ya BLU Win510L, simu hii inatumia Windows 8.1 OS, tatizo ni kuwa simu hii iko slow vibaya mno kwenye mtandao natumia line...
Nili uninstall facebook application from my iphone lakini nikiingia app store ili kuidownload nashindwa na inanipa msg kuwa ni temporary unavailable...nikajaribu kuitoa facebook messenger but...
Habari zenu wakuu,
Naomba kusaidiwa jinsi ya kuitengeneza simu yangu aina ya XIAOMI REDMI NOTE 3, 32GB STORAGE . Tatizo ni kuwa niliiflash kwa sp flashtool ikakubali hadi mwisho ila baada ya...
Wandugu laptop yangu hp mini Intel Atom(R)@1.66GHz 1.67GHz ram 2GB tatizo nikiwa naangalia movie ikifika kati sauti inatangulia kabla ya kitendo kufanyika.nimeupdate vlc.media player.gom lakini...
World best motorbike racing game
Already, it has been recommended to be the best
Why not take a look at them
Download some of them
And see the reasons why it is called the world best motorbike...
habarini za muda huu......
ndugu zanguni nahitaji msaada wenu, laptop yangu imeleta shida tangu juzi........baada ya kuitumia nilizima kama kawaida......badae kuiwasha, ikawaka lakini screen...
How to Recover, track or locate your stolen or lost Android device using Cerberus
How to recover, track or locate your stolen or missing Android device
Have you loose hope that you can't find...
One of the LG K series "K10" has been officially launched in India
LG K10 (2017) is now officially launched in India
See the Specifications and the Features it come with in tabular reading...
Habari..
Kumekuwa na tabia au tatizo la Line za Tigo kushondwa kushika mtandao na hilo tatizo halitatuliki mpaka uende kwenye ofisi za tigo na ufanyiwe swap
Mbaya zaidi ndo upo bize na shughuli...