Milale
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 494
- 189
Habari zenu wakuu,, mwaka kama mmoja uliopita nilikuwa namba nilikuwa naitumia na nilijiunga nayo Whtsp pia, ila bahati mbaya simu ikapotea na nikashindwa kuirenew sabb nilikuwa nje ya nchi je kuna uwezekano wowot wa kutumia namba ile Whtsp licha ya kuwa nimepoteza laini?