Msaada wa vigezo vya desktop computer kwa video editing

Processor iwe japo kuanzia 3.5ghz, ram japo ianzie 2GB, nina imani kwa specifications hizo zitafaa, tatizo program zako zipo compatible na operating system version ipi, wataalamu zaidi watasaidia, watakuja!
 
Back
Top Bottom