Kuhama mtandao bila kubadili line

Kachangamtoto

Member
Dec 4, 2012
82
28
Wakuu, kuna hizi taarifa za kuhama mtandao bila kubadili namba.

Naomba kuelewesha inakuaje apo.

" Habari kwa Umma, huduma ya kuhama mtandao bila kubadili namba yako itaanza kuanzia tar 01.03.2017 kwa malezo zaidi piga 100 au tembelea maduka yetu.Please be informed that mobile number portability service will be available effective from 01.03.2017"
 
Unahama bila kubadili namba. Let's say wewe ni mteja wa tigo namba yako ni 0713178634.. unaweza kuhamia vodacom au aitel (wereeva) ukabaki na hiyo namba yako..yaani unakuwa mteja wa airtel line unapewa ya airtel ila namba yako inabaki ileile
 
Nimepuga bado sijawaelewa
 
Unahama bila kubadili namba. Let's say wewe ni mteja wa tigo namba yako ni 0713178634.. unaweza kuhamia vodacom au aitel (wereeva) ukabaki na hiyo namba yako..yaani unakuwa mteja wa airtel line unapewa ya airtel ila namba yako inabaki ileile
Siwezi kutumia namba moja kwa mitandao mitatu?? Yaan same no napata huduma ya tigo,voda na halotel??
 
Yaani kwa mfano sasa hivi una line ya Tigo namba 0717010101010 utaingia kwenye settings katika simu yako utaenda Networks utafanya manual search itakuja mitandao mingine utachagua mfano VODA, kwa hio namba yako utakuwa unatumia huduma za Voda kama ni laini ya Voda. Unaweza kuhamia mtandao wowote na kujiunga na vifurushi bila shida.
Wakuu, kuna hizi taarifa za kuhama mtandao bila kubadili namba.

Naomba kuelewesha inakuaje apo.

" Habari kwa Umma, huduma ya kuhama mtandao bila kubadili namba yako itaanza kuanzia tar 01.03.2017 kwa malezo zaidi piga 100 au tembelea maduka yetu.Please be informed that mobile number portability service will be available effective from 01.03.2017"
 
Siwezi kutumia namba moja kwa mitandao mitatu?? Yaan same no napata huduma ya tigo,voda na halotel??
Hapana. Kumbuka kuwa unabadilisha line namba ndo haibadiliki..ukienda tigo unapewa line ya tigo, ukienda airtel unapewa line ya huko na unakuwa mteja wa huko..huwezi kutumia mtandao zaidi ya mmoja at a time ila na namba yako hiyo moja unaweza kuzunguka mitandao yote ya simu. Nadhani ukipiga customer care utapata maelezo zaidi
 
Yaani kwa mfano sasa hivi una line ya Tigo namba 0717010101010 utaingia kwenye settings katika simu yako utaenda Networks utafanya manual search itakuja mitandao mingine utachagua mfano VODA, kwa hio namba yako utakuwa unatumia huduma za Voda kama ni laini ya Voda. Unaweza kuhamia mtandao wowote na kujiunga na vifurushi bila shida.
Santee mkuu...nimekuelewa apo
 
Umepotosha
 
Pamoja na maelezo ya wadau wengine hapo juu, kumbuka:
1. huruhusiwi kuhama mtandao mmoja kwenda mwingine kama una deni.
2. huruhusiwi kuhama kama laini yako hujaitumia kwa takribani miezi sita au zaidi
3. unaweza kuhama tena baada ya siku 30 toka siku uliyohama mtandao mmoja kwenda mwingine.
4. piga 100 kupata maelezo zaidi
5. shirikisha ubongo wako kabla hujafanya maamuzi kama haya magumu.
 
Daaa,, mkuu apo bora uwe na lain za mitandao tote tuu kuliko kuhama
 
Yaani kwa mfano sasa hivi una line ya Tigo namba 0717010101010 utaingia kwenye settings katika simu yako utaenda Networks utafanya manual search itakuja mitandao mingine utachagua mfano VODA, kwa hio namba yako utakuwa unatumia huduma za Voda kama ni laini ya Voda. Unaweza kuhamia mtandao wowote na kujiunga na vifurushi bila shida.
Duh nmecheka Sana asee.
 
Hii itasumbua sana kwa wateja wanaotaka kupiga offnet, itabidi vifurushi navyo vibadilike kabisa, kuwe na flat rate kwenye kupiga offnet na on-net

Let say mi nipo voda nimejiunga na kifurushi cha voda - voda, ntamtambuaje voda mwenzangu ili niweze kumpigia...?

Mwanzoni tulikuwa tunaangalia jinsi number zinavyoanzaa kwamfano 075,076 etc unajua huyu ni voda mwenzangu
 
Back
Top Bottom