Gorilla Zoo
JF-Expert Member
- Nov 3, 2016
- 257
- 412
wakuu hii ipoje yaani kila baada ya kuroot sim hua inakua nzito yaani ukifungua application inakua nzito na haichelewi ina exit ni simu ya tatu hii msaada nifanyeje coz now naona ku root ni ka kuua simu