God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,068
...
Ziko nyingi, ila kama una nia kweli basi lazima ujue languages mbali mbali zitazo kusaidia kutengeneza!! kama hujui unaweza tafuta watu ukawalipa wakakutengenezea...japo ziko njia za shortcut ila sikushauri sana!! tafuta mtaalamu au ujifunze kama una muda!!Naombeni mnipe utaalamu na njia za kutengeneza mtandao wa kijamii kama facebook, JF n.k
Nataka nishushe bonge moja la website. Nina idea ila siwaambii, naombeni tuu mnipe steps ili ipatikane katika web na playstore, window store n.k
nashukuruZiko nyingi, ila kama una nia kweli basi lazima ujue languages mbali mbali zitazo kusaidia kutengeneza!! kama hujui unaweza tafuta watu ukawalipa wakakutengenezea...japo ziko njia za shortcut ila sikushauri sana!! tafuta mtaalamu au ujifunze kama una muda!!
Mkuu unaelewa kitu wanakiita typo?Sio mtandaio ni mtandao
Akiwa na server ya kutosha ndio inakuaje mkuu?mkuu unaserver ya kutosha?
hapana ipe elimu kuhusu maana ya server hata siijuimkuu unaserver ya kutosha?
Server is not an issue , anaweza aza kidogo kidogo, then ukaupgrade namna wateja wanavyoendelea kuregister, cha msingi anaweza tumia spam blockers ili kuzuwia spam in your community forum.mkuu unaserver ya kutosha?
Hujui kitu bado inaonesha unataka kujua kila kitu jf jaman Kuna vyuo nenda kakaAkiwa na server ya kutosha ndio inakuaje mkuu?
BADALA YA KUMSAIDIA UNAMPONDAHujui kitu bado inaonesha unataka kujua kila kitu jf jaman Kuna vyuo nenda kaka
Ndio maana sishangai kwanini tanzania iko kumi za nchi maskini duniani!!!Hujui kitu bado inaonesha unataka kujua kila kitu jf jaman Kuna vyuo nenda kaka
Ni asili ya watanzania wengi, na ndio changamoto tuliyo nayo!!BADALA YA KUMSAIDIA UNAMPONDA
achana nao wala wasikukatishe tamaaNi asili ya watanzania wengi, na ndio changamoto tuliyo nayo!!
Greatness take a time, JF or Fb hazikujengwa kwa siku moja,Naombeni mnipe utaalamu na njia za kutengeneza mtandao wa kijamii kama facebook, JF n.k
Nataka nishushe bonge moja la website. Nina idea ila siwaambii, naombeni tuu mnipe steps ili ipatikane katika web na playstore, window store n.k
NATAKA NIJIFUNZE KUTEGENEZAKama unahitaji mtandao wa kijamii ni pm
HeyNATAKA NIJIFUNZE KUTEGENEZA