Kwa alie cheza GTA 5 na Tomb raider 2013 kwenye Ps 3 naomba msaada.Mm nikianza kucheza tu tomb raider yule jamaa naekutana nae mwanzo nakunivuta huniua na kuishia hapo hapo ...kwenye GTA 5 mwanzo kabisa jamaa akisha panda kwenye bot anasukumwa mpaka anakufa sijui cha kufanya msaada tafadhari n buttons gani zinausika kwenye pad?