Wakubwa habarini za leo, kuna hii kampuni ya wakenya inaitwa Bunny ndio wana tengeneza haya majiko ya ECOA induction cookers, naomba ambaye ameyatumia anipe uzoefu kabla sija jilipua kuchukua.
Pengine wewe unayesoma uzi huu unawaza ni lini utapata pesa ya kununua simu lakini kwa mtu mwingine hali ni tofauti kabisa ...!
Kivipi ,? ..... pesa Anayo lakini hajui ni simu gani nzuri atanunua...
Tanzania kila inayo itwa leo watu hutapeliwa ,wengi hupotezea kwa sababu ya udogo wa pesa wanazo tapeliwa ….
Fikiria kama ukitapeliwa laki 3,4 au MILLIONI.
Ni pesa nyingi eeh…. Kama haupo makini...
Wakuu nashindwa kuelewa kuhusu FB post engagement. Kwa maana utakuta post ina 350 views, 13 engagement 4 likes, 2 comments, total interaction 6. Sasa je hizo engagement 7 Zimetoka wapi...
Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kinashiriki katika Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma 2026 yanayofanyika katika viwanja vya Chinangali jijini Dodoma, kwa lengo la kutoa elimu kwa wananchi kuhusu...
Baada ya kuzindua DJI OSMO Pocket 4 mwezi April, DJI pia walidokeza kidogo Pocket 4 Pro, ambayo ilionekana inakuja na lens mbili. Finnaly wamefanya officially launch.
Hii pocket gimbal camera...
New malware spreading across Android devices via text messages promises free Amazon gift cards but delivers only spam to everyone on the devices contact list.
The Gazon threat, as it is...
Kozi ya Jinsi ya Kutengeneza Simu (Mobile Repair Full Course) ni mwongozo wa kina unaokufundisha hatua kwa hatua jinsi ya kutambua, kuchunguza na kurekebisha matatizo mbalimbali ya simu za...
Wakuu naombeni msaada wa video downloader ambayo isio ya kulipia maana nimejaribu kulipia snapany inakuwa inakataa ...ningefurahi zaidi kupata ya ku copy na ku paste link .... shukrani
Je, umedondosha simu yako
kwenye maji au imeingiwa maji?.
Usipate tabu, Ukichukua hatua za
haraka unaweza ukaiokoa
isiharibike.
Hatua ya kwanza kabisa itoe
kwenye maji haraka iwezekanavyo
kwani...
Samsung baada ya kushika soko kwa muda mrefu wakajisahau na kuona wanaweza kufanya wanachojisikia sokoni , google pixel wakaja wakawapiga bao na sasa vijana wengi hupendelea zaidi kuliko Samsung...
wakuu tumaini ni wazima afya nilikuwa nauliza hivi kuna watu wanaagiza mizigo kikuu nilikiwa nataka kuagiza external driver naona kule 4 TB wanauza 35k.
hivi naomba kujua bidhaa ni Og au
Wakuu, naomba msaada wa ushauri na connection za laptop nzuri yenye specs za kufanya kazi nzito kidogo kama programming, video editing, gaming, 3D rendering na data analysis.
Napendelea zaidi...
Habari wakuu,
Leo Juni 9, 2026, kampuni ya Anthropic (watengenezaji wa Claude) wamezindua mifano miwili mipya ya akili unde - Claude Fable 5 na Claude Mythos 5. Hii ni habari kubwa kwenye dunia...
Asilimia 95% ya simu za iphone ambazo watanzania wengi wanauziwa kwenye box huwa ni simu used….
Je,
Ulikuwa unajua hili ? kama hujui basi habari ndio hiyo.
……naona unabisha pengine wewe mwenyewe...
Habari.
Kuna mtu anauliza taratibu za kuanzisha app kwa hapa tanzania hadi iweze kua downloaded playstore/App store.
Je, ni taratibu zipi anahitaji kufuata?
Je itahitaji kwenda Tra,Tcra,Brela nk...
Airtel mna customer care mbovu kwenye simu. Okay, nikaona nije dukani kwenu, aisee…!
Okay tuache ilo. Sasa hizi 5G router zenu za ZLT X25 zina lifespan ya muda gani? Yangu imeanza kimasihara...