Mwenye Uzoefu na Majiko ya Induction ya ECOA

Mwenye Uzoefu na Majiko ya Induction ya ECOA

Baba Rhobi

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2020
Posts
1,846
Reaction score
3,373
Wakubwa habarini za leo, kuna hii kampuni ya wakenya inaitwa Bunny ndio wana tengeneza haya majiko ya ECOA induction cookers, naomba ambaye ameyatumia anipe uzoefu kabla sija jilipua kuchukua.
1781690258901.jpg
 
Ni mazuri sana sema ndo hivyo yanachagua sufuria plus yanakula yananyonya umeme sana.

All in all zuri
 
Back
Top Bottom