Mechanic 97
JF-Expert Member
- Feb 6, 2021
- 1,056
- 1,486
Wakuu nashindwa kuelewa kuhusu FB post engagement. Kwa maana utakuta post ina 350 views, 13 engagement 4 likes, 2 comments, total interaction 6. Sasa je hizo engagement 7 Zimetoka wapi?. Ukizingatia post ina sehemu ya kuclick moja tu ambayo (see more). Je kama hizo 7 engagement niza kuclick see more inawezekana vipi wawe 7 ambapo viewers Ya post ni 177 yaani inamaanisha kila mmoja kaview mara mbili.
Naombeni msaada wakuu kabla sija chukua maamuzi magumu
Naombeni msaada wakuu kabla sija chukua maamuzi magumu