wakuu ! external drive aina ya transend imekua very slow kucopy files, file la gb 1 inachukua karibia nusu saa kucopy...nimeformat ila bado tatizo ni hilo hilo ! Msaada tafadhali..
Clean Chrome of Unwanted Ads, Pop-Ups, & Malware.
If you're seeing some of these problems with Google Chrome, you might have unwanted software or malware installed on your computer:
Pop-up ads...
Ni wazi kwamba kutumia https(ssl) kwenye website yako inakuwa ni vigumu sana kwa mtu kuweza kudukuu data baina yako wa watembeleaji wako kwenye website.. Ila Kuna Faida nyingi zaidi ya kutumia...
Hivi iphone kwanini zinauzwa bei kubwa sana huwezi linganisha na simu za android kipi utakacho kifanya kwenye simu ya Iphone kisicho kuwepo kwenye simu za androd kama ni mawasiliano yaleyale mm...
Habari wana JF, Mimi naitwa Amani natokea Forum ya Teknolojia lakini leo nakuja kwenu kwa heshima na taathima nikiwa naomba msaada kwenu madaktari pamoja na watu wengine wote wenye mapenzi na...
Salama wadau
Nina nia ya kusoma kozi ya Certified Information System Auditor(CISA). Nataka kujua Mahali zinakotolewa Review class na gharama yake kwa DSM
vilevile na gharama za Mtihani.
Granted, it'll likely be years before any real conclusions can be made, let alone actual faster-than-light tests - not to mention that accelerating matter and accelerating light are two entirely...
Umeme ulikatika jana baada ya kurudi nikawasha nakutana na ujumbe huu kila nikijaribu naona mzigo umegoma hapa tatizo nini wazee wezangu naombaa msaada wenu kama picha inavyo onesha CPU NI DELL...
Ashish has discovered an excellent online service to convert PDF documents to plain text for free. The service is PDFTextOnline and allows you to convert PDF documents to text online just by...
Wakuu Nimeshafanikisha kupata verification code na kulink kadi je ni lini paypal watarefund hela yangu waliokata almost Dollar 10 nilijaribu zaidi ya mara tano wakuu hvo kila nilipojaribu walikata
Wakuu, nna vyeti vyangu vmescaniwa katika mfumo wa pichs, ila nataka kuvbadili viwe katika mfumo wa pdf ili nivtume sehemu, na kwa bahati mbaya viko mbali inamaana siwezi kuviscan upya. Nifanyeje...
wakuu
jana na leo nilipata namba za udhibitishio ili kuzitumia kufungua account ya whatsapp wakati mimi sikumbuki kama nilishawahi kutuma maombi ya kujiunga na whatsapp. simu yangu ni techo ambayo...
Jamani naombaeni mnisaidie namna ya kuflash simu hii kwani nikibonyeza batan ya power na ya kupandishia sauti inanilete recovery na boot lakini nikibonyeza recovery inaandika no command msaada...
Wakuu hali zenu!!!
Kwakweli nimekuwa nikitumia mitandao ya kampuni tofauti tofauti hasa kwenye maswala ya Internet lakini nimeonja radha ya TTCL 4G kwa DSM na ZNZ Mashallah jamaa wako vizuri...
Wadau nimeshawishika kununua hiki kifaa kwa ajili ya kuweza kuunganisha simu yangu na TV but nimeona ni vyema kuja kuomba msaada wa ushauri na mawazo kwanza kwenu haswa kwa wenye ujuzi nacho na...
Habari wanajamvini... Ni matumaini yangu nyote wazima na tunaendelea na harakati zetu za kujitaftia rizk! Kichwa cha habari kinajieleza, msaada wako tafadhali..