Msaada wa kujifunza configuration za server na cisco router

ulekwe

JF-Expert Member
Oct 28, 2014
202
175
Nina basic ya network kwa kiasi chake na network installation si tatizo kwangu, tatizo Uja hapo kwenye configuration so please kama kuna mtu ana mahali nitakapo weza hayo mafunzo haswa ya ki vitendo nitashukuru.

Asanteni
 
Back
Top Bottom