Jinsi ya kuji ublock WhatsApp

sheremaya

JF-Expert Member
Mar 22, 2015
2,894
5,909
Wajuvi wa mambo naombeni msaada jinsi gani nitaweza kuji ublock whatsapp kuna mtu ameni block alafu yupo mbali siwezi kushika simu yake
 
Simple sana...! Fanya backup ya chats zako, ukimalza "clear data" na "clear caches" za WhatsApp yko then ingia kwenye "setting" ya WhatsApp yako na "delete account" usiogope kufuta kwani hautakua umepoteza kitu chochote kwa sababu ulifanya backup! baada ya hapo hebu uinstall hiyo WhatsApp na ingia play store u download nyingne fungua na irudushie ile ile account na u restore data!

Mpaka hapo utakua ushajiunblock kabsa wewe mwenyewe.....
 
Haiwezekani mkuu, labda ajiunge kwa namba ingine
 
Simple sana...! Fanya backup ya chats zako, ukimalza "clear data" na "clear caches" za WhatsApp yko then ingia kwenye "setting" ya WhatsApp yako na "delete account" usiogope kufuta kwani hautakua umepoteza kitu chochote kwa sababu ulifanya backup! baada ya hapo hebu uinstall hiyo WhatsApp na ingia play store u download nyingne fungua na irudushie ile ile account na u restore data!

Mpaka hapo utakua ushajiunblock kabsa wewe mwenyewe.....
Mkuu nimejaribu zaidi ya mara tatu block bado ipo pale pale hadi nika format simu kabisa
 
Hiyo njia niliwahi kutumia last year ilikuwa inafanya kaz fresh tu

Njia nzuri asante.ila nilikua nataka tu kujaribu kufanya utundu
Hizo loopholes whatsapp walishaziziba since January kama sijakosea
Labda Kama kuna njia mpya wadau walete hapa
 
Mkuu nimejaribu zaidi ya mara tatu block bado ipo pale pale hadi nika format simu kabisa
Mkuu me nshagawahi kujiunblock kwa njia hii ila ni muda kidogo... so labda kwa sasa hii trick ni inviled na pia encryption ya whatsApp ni kubwa sana kwa sasa...since nowdays it is being frequently updated.
 
Wajuvi wa mambo naombeni msaada jinsi gani nitaweza kuji ublock whatsapp kuna mtu ameni block alafu yupo mbali siwezi kushika simu yake
Afu we jamaa ni zuzu unaandika vitu usivo vijua eti kuji ublock badala ya kuji unblock....kweli rudi darasani...
 
Simple sana...! Fanya backup ya chats zako, ukimalza "clear data" na "clear caches" za WhatsApp yko then ingia kwenye "setting" ya WhatsApp yako na "delete account" usiogope kufuta kwani hautakua umepoteza kitu chochote kwa sababu ulifanya backup! baada ya hapo hebu uinstall hiyo WhatsApp na ingia play store u download nyingne fungua na irudushie ile ile account na u restore data!

Mpaka hapo utakua ushajiunblock kabsa wewe mwenyewe.....
Akifanya hivo si atagundua na ata mblock in one step wakat apo yeye atakua kapitia alot of steps brooo
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom