Natafuta mtandao wa kusoma online kwa video

Rebeca 83

JF-Expert Member
Jun 4, 2016
14,925
31,850
Habari JF,

Please kama kuna mtu Anajua mitandao mingine ambayo unaweza kusoma kwa video online, apart from YouTube, anitajie please,

THANKS.
 
Kama sijakuelewa hivi. Kusoma material ambayo tayari yapo uploaded au utumie kusoma na watu wengine kwa distance learning? ?

Ila mitandao inayofanana na youtube kuna dailymotion, vimeo, vube, flirk n.k
 
Mkuu kujieleza, some time taabu lol,nilikua namaanisha mitandao ya kujisomea, sio hio ya kusocialize
 
Back
Top Bottom