Naomba kufahamishwa kuhusu Sumsang J7

Naomba kufahamishwa kuhusu Sumsang J7

Lugombo Nsesi

Senior Member
Joined
Jun 16, 2016
Posts
126
Reaction score
151
Jamani mwenye kuijua hii simu aniambie ikoje!! Nimeikuta dukani uko vizur Sana..
Naombeni ushauri plzz...

Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
 
Iko poa nunua tu mkuu kuna sister hapa anayo.Sema ukihitaji samsung tab E nicheki inbox.Ni kubwa sana unaunganisha vioo vinne vya J7
 
Iko poa tu. Mi natumia prime ya 2016. Haina matata. Kamera na spidi vyote poa.
 
Chukua J7 iko poa. Chagua yenye LTE utainjoy. Ila weka glass screen guard maana kioo chake bei ya simu.

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Iko poa tu. Mi natumia prime ya 2016. Haina matata. Kamera na spidi vyote poa.
Ivi katika simu za Samsung
Samsung Galaxy J7 prime plus (2017) [emoji739] Samsung Galaxy A8 (2017)
Ipi? Simu makini apo nijulishe
 
Ivi katika simu za Samsung
Samsung Galaxy J7 prime plus (2017) [emoji739] Samsung Galaxy A8 (2017)
Ipi? Simu makini apo nijulishe
Hizi hazijatoka bado. Ila za mwaka jana A8 ipo juu.
 
Back
Top Bottom