Naomba msaada jinsi ya kuset king'amuzi cha kontinento

Naomba msaada jinsi ya kuset king'amuzi cha kontinento

MAULA

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
1,056
Reaction score
171
Naomba msaa wa kujua kuanza kutumia king'amuz cha.kontinento yaaan kwa kukielekezea ukiwa dodoma.

dish na dish setup niwekaje jama ili strentgh na quality vitokee coz havtokei kabisa
 
naomba msaa wa kujua kuanza kutumia king'amuz cha.kontinento
yaaan kwa kukielekezea ukiwa dodoma.dish
na dish setup niwekaje jama ili strentgh na quality vitokee coz havtokei kabisa

Mm nashauri umuite fundi au uwa call continental hapo Dodoma wakupe fundi wa kufunga

Inshort haiwezi kufanywa na amateur person hiyo kitu

Data za satellite yao zinakutwa hapo amos 5 17E Amos 5 at 17.0°E - LyngSat
 
We siwez kukupgia sim ukanielekeza?
 
We siwez kukupgia sim ukanielekeza?

sio kazi ndogo labda ungekua na uelewa kidogo hapo poa...

Dish lazima liwe assembled lazima liwe drilled kwenye sehemu ya ukuta au sehemu ngumu vinginevyo kila siku utakua unakuja hapa kusema dish langu linaonesha bad signal au no signal kumbe umembania tu fundi ambaye sidhani kama atakutoza zaidi ya 20,000/= kama mnaishi mtaa mmoja
 
We siwez kukupgia sim ukanielekeza?

Yaani walau ungekua na receiver iliyo scaniwa channel ingekuwa rahisi zaidi maana ungezungusha dish hivo hivo kiuni mpaka ungepata walau Quality na signal lkn sijui kama hizo receiver za continental zinakuja zime scaniwa channel
 
Shida n mbali kutoka mjn fund ni wa kumaafrsha dat y nmefkiria niifanye mpango wa kuelekezwa nikifanikiwa kupata strength tuu na quality vngne bas coz kuhusu kulifunga likatulia sio kaz
 
Hapa kwenye hz dish setup ndo nikielekewa baasi coz sha wai fanyaka madish makubwa so sitashinfmdwa kuelewa
 
Attachments

  • 1420861376147.jpg
    1420861376147.jpg
    42.5 KB · Views: 469
Hapa kwenye hz dish setup ndo nikielekewa baasi coz sha wai fanyaka madish makubwa so sitashinfmdwa kuelewa

Acha hapo Amos 5 @17E afu nenda lyngsat tafuta TP ya channel moja kisha zunguza dish mashariki mpaka upate Quality na strength
 
Hapa kwenye hz dish setup ndo nikielekewa baasi coz sha wai fanyaka madish makubwa so sitashinfmdwa kuelewa

Hbr.yako
Maula.
Jirani hapo angalia dish la Azam lilivyo fungwa sasa anzia hapo kulekea kulia juu chini ukiwa nyuma ya dish taratibu
Kumbuka hili dish la continental liko kulia kidogo pia juu kwa la Azam
Kwenye tv &Rcva nenda kwenye transponder ingiza hizi freq. 11138/30000 v hapa ndipo zipo channels za Startv
Kama hio tp haiko kwenye Amos5 nenda kwenye kitufe cha add hapo kwenye tv yako inaonesha nyekundu kisha ingiza hizo namba juu
Ambazo ni 1113v30000
 
lnb inakaaje mkuu kama azam au dstv?
 
SO sasa unatega uelekeo east as ungo kubwa za c band za zaman?
...
Sawa.
Fanya kama unashuka chini na kuelekea kulia kidogo. ABS 75e
Kama uko dar na na dira wafahamu - 80.6e azimuth; 47.9 elevation
11664V45000 Continental
11595V30000 Ting
11472V 30832 Test ....
 
...
Sawa.
Fanya kama unashuka chini na kuelekea kulia kidogo. ABS 75e
Kama uko dar na na dira wafahamu - 80.6e azimuth; 47.9 elevation
11664V45000 Continental
11595V30000 Ting
11472V 30832 Test ....[/Q
...
Sawa.
Fanya kama unashuka chini na kuelekea kulia kidogo. ABS 75e
Kama uko dar na na dira wafahamu - 80.6e azimuth; 47.9 elevation
11664V45000 Continental
11595V30000 Ting
11472V 30832 Test ....
npo moro hiyo frequency ya kwanza nimecheza nayo kutwa nzima maybe ntumie hiyo ya ting coz zot zinatumia sat 1
 
...
Sawa.
Fanya kama unashuka chini na kuelekea kulia kidogo. ABS 75e
Kama uko dar na na dira wafahamu - 80.6e azimuth; 47.9 elevation
11664V45000 Continental
11595V30000 Ting
11472V 30832 Test ....
kwan naset kwa kutumia receiver ya mediacom ambayoikinasa sattelite huwa inatoa alam
 
kwan naset kwa kutumia receiver ya mediacom ambayoikinasa sattelite huwa inatoa alam
...
mediacom iwe s2 na lnb iwe ndogo.
Ting wana free atn, ting, uhai, tv1 .....
Continental free ni star tv, amn ....
...
 
Back
Top Bottom