Habari wakuu..
Naomba kujua km inawezekana kurudia version ya simu yako kwa mfano kutoka version ya Marshmallow kurudia Lollipop baada ya ku-update simu.
Asante.
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.