Msaada, alama hii inamaanisha nini

Msaada, alama hii inamaanisha nini

stellahthatcher

Senior Member
Joined
Oct 14, 2015
Posts
168
Reaction score
165
Wapenzi, habari za leo,

Naomba kuuliza hii alama hapa juu kwenye simu inamaanisha nini? Simu ni mpya nimetumiwa.

upload_2017-7-10_8-46-30.png


upload_2017-7-10_8-47-34.png
 
Angalia Imei No kwanza kwa kupiga*#06#
Setting#more#mobile network#network operator#munual such

Sent from my C6602 using JamiiForums mobile app
 
yeah, ila kama umei deactivate airplane mode then inaweza kuwa ni something else. kuna baadhi ya applications zinaweka vialama kama hivyo especially zile memory cleaning apps
yeah mkuu inawezekana nilishawahi kuona
 
Hapo kuna vialama viwili tofauti kimoja ni kama kajikombora na kingine ni alama ya miss call ambayo hujaisoma au kuiangalia,so na kingine kwa mbali ni x kwenye laini aidha imewekwa lakin imewekwa x maana yake ni kwamba simu imefungiwa,so haisomi lain,na kijikombora ni speedbustor,aidha sim ipo slow,so ukikibonyeza kitazunguka mzunguko mmoja kwa intenal memory then kitamalizia na sd card kwa mzunguko mwngine,ila sio airplane mood hyo kwa kwel.
 
Back
Top Bottom