mpenda arage
JF-Expert Member
- Nov 10, 2015
- 1,677
- 3,806
Salaam kwenu wahenga wenzangu. Nina hii Application ya mabodro, kwakweli iko vizuri. Ila tatizo mb zinawahi kuisha kabla ya movie kuisha. Huwa natumia ya kwako tu(mb 800) Vodacom. Je, nikiwa na mb ngapi ndio ntainjoi zaidi?!
Natanguliza shukrani.
Natanguliza shukrani.