Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habari wana_jf Ni Mara nyingi nimesikia taarifa Na kuona pia baadhi ya watanzania wakibuni vitu mbalimbali kwa UPEKEE wa hali ya juu...mfano >>m_tz aliyebuni ndege inayotumia mafuta ya taa...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
ndugu zangu naomba msaada mwenye nazo anisaidie maana USD 79 ni ndefu sana kibongo bongo
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kwa wataalamu ivi Ukiachana na kidole na pen ya kutachia,kuna kingine kinachoweza kufanya kazi hiyo msaada please
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Naombeni mwenye kujua anisaidie application ambayo naweza kuitumia kusajili namba za voda. Nahitaji nijiajiri kupitia kusajili line. Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu Natumia HP elite book 6930p inayotumia windows 8.1 Hivi karibuni nimekuwa nasikia kelele za feni iliyopo upande wa kushoto sawa au karibu na power button. Na kuna wakati nikichomoa ac power...
1 Reactions
9 Replies
8K Views
Guys nina sever yangu barand new HP ina ram 40gb, Hdd !tb na quad processor. na nina PC kadhaa za thin client aina ya HP atom spec: intergrated( HDD 2Gb, 1Gb RAM). Ninachohitaji hee sever...
0 Reactions
0 Replies
754 Views
Hali zenu wanajf.......memory card angu sijui ina matatizo gani nikidownload vitu inanambia internal storage isn't enough nikiangalia GB za memory card zipo nyingi tuu nimejaribu kueka anti virus...
0 Reactions
10 Replies
711 Views
Msaada wakuu product keys za window 10 Enterprise Evaluation please
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kama kuna mtu anafahamu kama kuna app ynye writting za utalic msaada nidownload maan napenda sana keyboard za italic hususan yale maandishi
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wadau habari nina tatizo kwenye simu yangua ya infinix note 3 kwamba nime save namba kwenye simu nikipiga naongea frsh,nikitakata then nikiipiga namba iyo iyo naambiwa hakikisha namba then nipige...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naombeni msaada wenu mnaojua na mpango wakutengeneza app nakuweka playstore sasa sijui kama unalipwa na kama unalipwa pesa kiasi gani kutokana na watu waliodownlod app yako? maana naonaga...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Vyuma vimekaza wakuu mwenye maujanja codes za kupata free channels
0 Reactions
20 Replies
11K Views
Eti wakuu, nani wanahusika na kazi hizo hapo juu. Utaratibu wao ukoje?
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Msaada please kwa yeyote ambaye anafahamu namna ya ku unlock bootloader katika huawei Y300-0100 naomba trick zake cause nashindwa kufanya update ya kutumia custom rom inakuwa blocked na hiyo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habarini wana teknohama..naomba msaada wa njinsi ya kufungua sumsung note bila kufuta sms zilizo kwenye simu
0 Reactions
2 Replies
683 Views
Msaada tafadhali kma kichwa kinavyojieleza,i mean jinsi ya kuchapsha Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Simu yangu Tecno R5. App ya kupigia simu inaandika. Unfortunately, dialer has stopped,. Kwahiyo sipigi simu wala sipokei. Simu nimeroot naweza kuiset ikapona?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu wadau,simu yangu aina ya Tecno J8 inaingiza charge taratibu sana yaani kujaa asilimia 27 inachkua masaa 12,ili hali umeme hauja katika,nimejaribu kuizima na kuichaji mchezo ni ule...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari wana ukumbi Nilikuwa nauliza je kuna uwezekano wa kuangalia tv channels za Tanzania nikiwa nje ya nchi just kwa kuweka freq zake? Thanx kwa msaada. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
850 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…