Kigger
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 884
- 836
Wadau habari nina tatizo kwenye simu yangua ya infinix note 3 kwamba nime save namba kwenye simu nikipiga naongea frsh,nikitakata then nikiipiga namba iyo iyo naambiwa hakikisha namba then nipige tena,nikagundua kuwa namba zina simu inapungua 0 katika namba ya ninayo mpigia naomba wadau mnisaidie maana nikitaka kupiga ni lazima niiandike namba upya japo kuwa nimesave nani simu zote infinx ?