Msaada TECNO R5

Msaada TECNO R5

uludodi

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2014
Posts
576
Reaction score
915
Simu yangu Tecno R5. App ya kupigia simu inaandika. Unfortunately, dialer has stopped,. Kwahiyo sipigi simu wala sipokei. Simu nimeroot naweza kuiset ikapona?
 
Pole mkuu. Simply, mpelekee fundi airudishie file lake halisi yaani stock rom na itarudi katika hali yake na hilo tatizo litaondoka. Kwa kiasi kikubwa version ya android ya kitkat ambayo ndiyo inayotumika ktk simu yako ni rahisi sana kwayo kupoteza uwezo wake kiutendaji au hata kuruhusu virus ambao pia husababisha hilo tatizo
 
Ivi inawezekana kupandisha hata android hadi 5 au 6
 
Back
Top Bottom