Wakuu
Natumia HP elite book 6930p inayotumia windows 8.1
Hivi karibuni nimekuwa nasikia kelele za feni iliyopo upande wa kushoto sawa au karibu na power button. Na kuna wakati nikichomoa ac power adapter kelele zinatoweka lakini nikichomeka tu zinaanza. Na sometimes hata kama sijachomeka power adopter inapiga kelele kwa muda kisha kutulia na inaweza kujirudia tena. Msaada Tafadhali msaada wa kusolve hilo tatizo