Gulio Blog
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 3,056
- 4,124
Naombeni msaada wenu mnaojua na mpango wakutengeneza app nakuweka playstore sasa sijui kama unalipwa na kama unalipwa pesa kiasi gani kutokana na watu waliodownlod app yako?
maana naonaga ukidownlod app zinakuwaga na matangazo sasa sijafahamu ndo wanaokulipa
maana naonaga ukidownlod app zinakuwaga na matangazo sasa sijafahamu ndo wanaokulipa