Dizaini kama post yako ni suti na kandambili mkuu...Kama kuna mtu anafahamu kama kuna app ynye writting za utalic msaada nidownload maan napenda sana keyboard za italic hususan yale maandishi
Naomba na mm unisaidie namna ya kuweka italic kwenye simuPamoja mkuu nilisha pata solution,, asante sana